Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

YANGU MLINIAMBIA HAIWEZEKANI
Kwa sasa inawezekana tafadhali wasiliana nami sasa. Nipe imei kupitia hii namba 0768 92 48 41 baada ya kufanya malipo.

Daima linapojitokeza tatizo, huwa tunalitafutia ufumbuzi.

Karibu
 
Kwa sasa inawezekana tafadhali wasiliana nami sasa. Nipe imei kupitia hii namba 0768 92 48 41 baada ya kufanya malipo.

Daima linapojitokeza tatizo, huwa tunalitafutia ufumbuzi.

Karibu
Huawei:- E5221s-2
Imei :- 867549010491338.
Nipe mchakato
 
JELA MIX TCRA VP
 
vipi kuhusiana na modem unaweza kutupa maujuzi ya ku-unlock modem?
 
Me nna nokia ilkua ya UK kufka tz aikubali any sim card...apo je inakuaje?
 
Iwashe ikiwa na laini ya simu tofauti.

Kisha angalia kama inakuletea kiboksi kinachotaka kuwekewa code.

Moja ya haya maelezo inatakiwa yawepo.
Network Unlock Code
SIM Unlock code
Enter SIM Me Lock
Enter NP Code
Please Input Network Pin
Service Provider unlock code
SIM network unlock pin
SIM Service provider unlock pin
SIM network unlock pin/NP Code
SIM network subset unlock pin
SIM service provider unlock pin
Network control key
Phone Lock Unblock Code

Me nna nokia ilkua ya UK kufka tz aikubali any sim card...apo je inakuaje?
Je UK ilikuwa inatumia mtandao Upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ