Nadhani hata simu za halotel zitakuwa kweny kundi hili maana ukiweka line tofauti inagoma na haileti option ya kuingiza code.Jaribu hivi
1. Washa simu ikiwa na laini tofauti
2. Chagua "Emergency calls"
3. Piga 2945#*71001#
4. Kisha chagua "Netlock"
5. Kitajitokeza kiboksi cha kuingiza codes
Ni sahihi kabisa.Nadhani hata simu za halotel zitakuwa kweny kundi hili maana ukiweka line tofauti inagoma na haileti option ya kuingiza code.
Nashkuru sana kwa ufafanuzi mzuri Mwl. RCTNi sahihi kabisa.
Na nipamoja na TECNO.
Hizi zinahitaji SIGMA BOX kuweza kuzifanyia unlocking. Ambapo physically simu inatakiwa niwe nayo.
Ila dhima ya hii thread ni "Remotely Unlocking" - Yaani mtu apate huduma mahala alipo
Simu yangu note II inaonyesha emergency call tatizo ni IMEI aianzi na 35, inaanza na 00. Kwahiyo naomba msada niweze kubadilisha hiyo IMEISijakupata vyema.
Je ni tatizo lipi ulilonalo
Simu yangu note II inaonyesha emergency call tatizo ni IMEI aianzi na 35, inaanza na 00. Kwahiyo naomba msada niweze kubadilisha hiyo IMEI
Hapo tayari nitatizo la Software hivyo inakuhitaji uipeleke kwa fundi mzuri wa kuflash stockRom.Ila kama imepoteza na Baseband yake inaweza isiponendugu naomba msaada nina tecno min phantom z
ilijilock mdogo wangu alikuwa anaichezea. nimeijaribu kuiformat kwa kutumia command keys
sikufanikiwa nikaipeleka kwa fundi akaiformat na cable. shida inakuja wakat naicomand nimeifuta I mei no. na sim iko sealed aifunguk nyuma na box nishatupa. nafanyaje mkuu.
Hiyo simu inahitaji kupata huduma ya kui-flash. Hapa unahitaji kuwa makini na Fundi utakayempa kazi hiyo kwani anatakiwa kuwa na ufaham mzuri na kile akifanyacho.ndugu naomba msaada nina tecno min phantom z
ilijilock mdogo wangu alikuwa anaichezea. nimeijaribu kuiformat kwa kutumia command keys
sikufanikiwa nikaipeleka kwa fundi akaiformat na cable. shida inakuja wakat naicomand nimeifuta I mei no. na sim iko sealed aifunguk nyuma na box nishatupa. nafanyaje mkuu.
Naomba nitumie link yake basidownload chamelephon apk uifix hiyo imei
PoaWakati unanua hukujua kama ni 'line dependancy' ila uspanic wataalam wapo watakuja coz ata mim nimeunlock sm nyingi na wataalaam nimewapa hapahapa jf.
Mwl RCT Hiyo namba iliyokuja kwa SMS cjaiona namba yngu 0717546885 anyway nakupi pmNipe IMEI kwa PM au kwa namba iliyokuja kwa sms