Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

na sum zlisahaulika security code unakuwaje?
  • Habari,
  • Ungesema model ya simu ungeelekezwa jinsi ya kuifanyia factory resert iwapo umesahau security code
 
Mkuu nina iphone5 ilikuwa yatumika UK sasa hapa bongo SIM is not valid
Je waifungua kwa bei gani?
 
Mimi nini tablet inatumia 3g doungle nitoeni ushamba wadau nafanyaje hapa ili nipate internet na huduma za simu?
 

naitaji hiyo kitu unayo unlockia simu.kinaitwaji.na bei yake inakiaje boss.0754604567
 
IPhone 6 locked under t-mobile usa. unaweza unlock niweze tumia kwenye airtel tz.
  • Inawezekana. Ni USD 75,
  • Whatsapp: +255 784 496 856
NB: Inatakiwa uwe na iTune ID/iCloud id yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ