Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

franco15

NCK code ni : 244 834 521 963 1766-
 
Last edited by a moderator:
Nina Huawei y530 nataka itumie line zote!
 
Unaweza kuunlock Samsung Galaxy Edge 6?
Ndio inawezekana, Taarifa tatu zinatakiwa ilinkufanikisha unlocking pamoja na kujua ghalama yake.

  1. IMEI number - Piga *#06# ili kupata IMEI
  2. Network locked with - Mfano Vodafone, O2
  3. Origin Country - Mfano UK, USA, Canada
Karibu
 
mkuu mimi natumia xperia z inatumia laini ya mtandao mmoja tu
ukiweka laini ya mtandao mwingine hailet option ya kuweka codes yenyewe inaandika NO SIM CARD
vipi unaweza nisaidiaje hapo
 
mkuu mimi natumia xperia z inatumia laini ya mtandao mmoja tu
ukiweka laini ya mtandao mwingine hailet option ya kuweka codes yenyewe inaandika NO SIM CARD
vipi unaweza nisaidiaje hapo
  • Habari ndugu Immortal_MH ,kwa simu yako haitowezekana
  • Simu ninazo shughulikia ni zile tu zinazo omba unlock codes,
  • Na kwenye screen hutokea moja ya haya maandishi
    Code:
     Network Unlock CodeSIM Unlock code
    Enter SIM Me Lock
    Enter NP Code
    Please Input Network Pin
    Service Provider unlock code
    SIM network unlock pin
    SIM Service provider unlock pin 
    SIM network unlock pin/NP Code
    SIM network subset unlock pin
    SIM service provider unlock pin
    Network control key
    Phone Lock Unblock Code
 
Last edited by a moderator:

unaweza nielekeza sehemu ambayo hilo tatizo linaweza kutatuliwa
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT hii tunnel guru ama PD proxy zifanya kaz kwenye android?
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT hii tunnel guru ama PD proxy zifanya kaz kwenye android?
  • Habari ndugu Kun Jr
  • Utaunganishwa na VIP INTERNET
  • VIP Internet inatumika kwa ANDROID, iOS, WINDOWS, LINUX, etl yaani DEvice yeyote uliyonayo yaweza kuunganishwa na kupata UNLIMITED INETRNET
Rejea VIP INTERNET - FAQ hapa Chini

Nyongeza
10. Je naweza kutumia kwa android device?
Ndio VIP Internet inatumika katika device yenye operating sysytem yeyote ile; iOS, Android, Linux, Windows, Mac OSX n.k
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT hii tunnel guru ama PD proxy zifanya kaz kwenye android?
  • PD proxy & TunnelGuru ni VPN kwa ajiri ya windows PC
  • Kama utahitaji vpn kwa android zilizopo ni kama: PIA, Droidvpn, TroidVPN n.k
  • KARIBU
 
Vodafone vf685
imei 35445906142941 inagharimu ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ