Paul dybala JF-Expert Member Joined Jul 30, 2023 Posts 553 Reaction score 2,266 Dec 26, 2024 #1 Hapa beach kuna choo kimoja cha serikali huwezi amini umati huu wa watu eti maji yanatoka kwa shida. Bado mhudumu anashindwa kuhimili uwingi wa wateja wanao kuja kupata huduma,hakuna risiti itolewayo kwa huduma.
Hapa beach kuna choo kimoja cha serikali huwezi amini umati huu wa watu eti maji yanatoka kwa shida. Bado mhudumu anashindwa kuhimili uwingi wa wateja wanao kuja kupata huduma,hakuna risiti itolewayo kwa huduma.
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,920 Reaction score 21,890 Dec 26, 2024 #2
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,909 Reaction score 193,847 Dec 27, 2024 #3 Mbona vyoo vipo vingi Coco beach... Cc: Mahondaw