KERO Huduma mbovu CRDB bank tawi la LAPF Dodoma

KERO Huduma mbovu CRDB bank tawi la LAPF Dodoma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Bank ya CRDB tawi la LAPF Dodoma wahudumu wako taratibu sana, majibu yasiyo rafiki

Kwenye foleni inakaa masaa bila huduma, yapo madirisha manne ya huduma ila kwa muda mrefu ni dirisha Moja tu ndio linamuhudumu ambaye naye muda mwingi ingia Toka ingia Toka haeleweki anafanya nini

Vijana hizi ajira mnapozipata tendeeni haki achaneni na mambo ya vinjunja

Ushauri kwa uongozi kila tawi hasa haya makubwa kuwepo na msimamizi wa huduma ambaye atakuwa anasimamia uwajibikaji na utoaji wa huduma kutoka kwa watu wake

Tunaacha kazi tunakuja kushangaa bank.

Huu ni ujinga na unapaswa kukomeshwa.

Bank sio mahala pa starehe

Hakuna sababu ya mteja kukaa masaa mawili kwa kusubir huduma ndogo tu ya kuweka pesa
Haikubalikiiii
 
Back
Top Bottom