Asante mkuu, nlikosea kutype nlimaanisha kumtrack. Kuna webcam moja niliona siikumbuki jina ina track gestures za mkono kuna gesture ukiifanya inakuwa inakutrack wewe so kama unafundisha ukihama inahama na wewe halafu kuna gesture ukiipa inazoom ile whatboard so inakuwa inaonyesha maandishi yaliyopo kwenye whiteboard. Nlikutana nayo ebay na bei yake ilikuwa less than 150 dollars... Kuna webcam unaifahamu yenye features kama hizo.Unaweza kutumia proffesional Camera kama Sony ZV1 sema itaku cost hela za kutosha, alterntive tumia Webcam toka proved brand kama Logitech Brio 4k ama Nexigo iris. Hapo kwenye kutract sijaelewa unamaanisha ina track automatic? Ukitembea nayo izunguke ama?
Nimeipenda hii post, ni constructive thinkingAsante mkuu, nlikosea kutype nlimaanisha kumtrack. Kuna webcam moja niliona siikumbuki jina ina track gestures za mkono kuna gesture ukiifanya inakuwa inakutrack wewe so kama unafundisha ukihama inahama na wewe halafu kuna gesture ukiipa inazoom ile whatboard so inakuwa inaonyesha maandishi yaliyopo kwenye whiteboard. Nlikutana nayo ebay na bei yake ilikuwa less than 150 dollars... Kuna webcam unaifahamu yenye features kama hizo.
Kwa hizi feature nimeona hiiAsante mkuu, nlikosea kutype nlimaanisha kumtrack. Kuna webcam moja niliona siikumbuki jina ina track gestures za mkono kuna gesture ukiifanya inakuwa inakutrack wewe so kama unafundisha ukihama inahama na wewe halafu kuna gesture ukiipa inazoom ile whatboard so inakuwa inaonyesha maandishi yaliyopo kwenye whiteboard. Nlikutana nayo ebay na bei yake ilikuwa less than 150 dollars... Kuna webcam unaifahamu yenye features kama hizo.
niliambiwa nicheck myus (website) na dikena (insta) japo sijawahi kuwatumiaWakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, ni huduma gani ambayo inatoa virtual US addresa bora na affordable for package consolidation kwa ajili ya shopping?
Nataka nikinunua vitu amazon viende huko zikifika package zote ndio waziship kuja kwangu. Na je, wakati wa shipping mimi ndio nachagua aina ya shipping au wao?
Chief-Mkwawa, unafahamu webcam external nzuru ambayo ni 4k yenye features za kumtrack mtu na features za zoom nayoweza kuitumia kurekodi lessons nikiwa nimesimama kwenye whiteboard.
Asante sana mkuu. Hii ni useful ngoja niipitie asante sanaKwa hizi feature nimeona hii
Insta360 Link review: breaking the webcam mold
The Insta360 Link is an innovative gimbal mounted 4K webcam that features AI-powered gestures and face tracking.www.digitaltrends.com
Sema bei ni tofauti na uliyosema, hio ina gestures za whiteboard, kuzoom, Auto focus etc.
Dell ultrasharp webcam ni alternative sema sijaona hio whiteboard ila ina track na kuzoom bila shida angalia hapa
Uzuri wa Dell ni kampuni kubwa hawana njaa ukienda Ebay bei chee hadi $120 mpya
Pia consider Remote kama Ai inakua ghali sana.
ina track gestures za mkono kuna gesture ukiifanya inakuwa inakutrack wewe so kama unafundisha ukihama inahama na wewe halafu kuna gesture ukiipa inazoom ile whatboard so inakuwa inaonyesha maandishi yaliyopo kwenye whiteboard.
Nataka nikinunua vitu amazon viende huko zikifika package zote ndio waziship kuja kwangu. Na je, wakati wa shipping mimi ndio nachagua aina ya shipping au wao?
Muhimu | Chagua forwarder zaidi ya mmoja, kisha angali sehemu ya calculator, fanya utafiti, & then chagua yule mwenye:Asante kwa tip mkuu
samahani, ukishalipa hizo fees kuna extra fees unazolipa mzigo ukifika dar? hasa kwa dhlMuhimu | Chagua forwarder zaidi ya mmoja, kisha angali sehemu ya calculator, fanya utafiti, & then chagua yule mwenye:
- Ghalama nafuu ukilinganisha na wengine
- Awe na shipping option nyingi zaidi | Kila shipping option huwa imewekewa ghalama yake kulingana na taarifa za mzigo utakazojaza kwenye calculator.
Ndioukifika dar? hasa kwa dhl