👉Habari za muda huu wafugaji, natumaini nyote ni wazima .napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako;
✅ Huduma Bora kwa Mifugo:
1. Utoaji wa Dawa za Minyoo (Deworming):
- Kuzuia na kutibu minyoo ya ndani na nje.
2. Chanjo (Vaccination):
- Kuzuia magonjwa hatari kama chambavu, kimeta, kichaa cha mbwa, n.k.
3. Matibabu ya Magonjwa (Treatment):
- Tiba sahihi ya magonjwa ya bakteria, virusi, fangasi, na protozoa.
4. Uhimilishaji (Artificial Insemination):
- Kuboresha kizazi na kuongeza tija ya mifugo.
5. Lishe na Virutubisho (Nutrition & Supplements):
- Ushauri wa lishe bora, madini na vitamini.
6. Huduma za Upasuaji:
- Upasuaji wa hernia, kastration, usafishaji wa vidonda n.k.
7. Usimamizi wa Banda na Mazingira:
- Ushauri juu ya ujenzi bora wa mabanda yenye hewa na usafi.
8. Kukata kwato (Hoof trimming) na usafi wa mwili:
- Kuzuia magonjwa ya kwato na maambukizi mengine.
9. Ushauri wa Uzazi na Uzalishaji:
- Kuongeza mbegu, kupanga uzazi, kutunza wajawazito.
10. Kufuatilia na Kutembelea Mifugo (Farm visits):
- Tathmini ya afya na usimamizi wa mifugo mashambani.
👉Mahali (location) morogoro mjini.
Popote ulipo tunakufikia ujipatie huduma bora kwa mifugo yako
👉Kwa mawasiliano zaidi
0674740836
0792263640
Karibuni sana huduma bora kwa mifugo yako ili kuleta mafanikio Bora
Note.kuna offer ya kwa mteja wa kwanza