HUDUMA BORA KWA MIFUGO YAKO🐂🦮🐕‍🦺🐖🐓🐔

HUDUMA BORA KWA MIFUGO YAKO🐂🦮🐕‍🦺🐖🐓🐔

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
92
Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya.napenda kumshukur mungu kupata nafasi hii kwenu.kwa majina naitwa dr gilliard nimebobea katika masuala ya matibabu ya wanyama..
Leo napenda kuwaletea huduma bora zitolewazo kwa wanyama Kama mbwa, ng'ombe mbuzi, nguruwe,kuku,paka,na kondoo n.k

°HUDUMA ZETU NI KAMA VILE....
1.matibabu kwa mifugo yako(ng'ombe,mbwa, nguruwe,mbuzi,kuku,kondoo n.k
2.huduma ya chanjo kwa magonjwa hatari kwa mifugo yako mfano ugonjwa wa midomo na miguu,CBPP,CCPP, parvovirus n.k
3.Ushauri kwenye lishe ya chakula Cha mifugo yako
4.check up kwa mifugo yako kila week hii husaidia kuimarisha afya ya wanyama wako
5.kuhasi wanyama wako mfano mbuzi,mbwa,paka, ng'ombe n.k
6.kutembelea mashamba ya mifugo na kufanya matibabu kwa wanyama dhidi ya magonjwa
7.usimamizi wa mashamba ya mifugo ili kuongezeka kwa mifugo yako na uzalishaji
8.design ramani ya nyumba za mifugo yako kisasa zaidi
9.ushauri kwa mifugo yako
10.huduma za upasuaji kwa wanyama mfano mbwa, ng'ombe, mbuzi nguruwe n.k

Tunatoa huduma zote kuhusiana na wanyama Mashambani,manyumbani na ofisin
Location.morogoro mjini
Kwa mawasiliano zaidi
0674740836
0792263640
Karibu sana popote ulipo tunakufikia kwa haraka sana.

Linda mifugo yako kwa maendeleo na mafanikio ya baadae..
.
Offer kwa mteja wa kwanza au atakaye niunganisha kwa mteja mwingine atapata offer.
Karibu sana
 

Attachments

  • 20250514_164120.jpg
    20250514_164120.jpg
    849.5 KB · Views: 22
  • PXL_20250227_145032362.MP.jpg
    PXL_20250227_145032362.MP.jpg
    542.6 KB · Views: 21
  • Thanks
Reactions: al1

Similar Discussions

Back
Top Bottom