Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Nimechungulia kapu la utafiti kubaini chanzo chake........
Nimechungulia kauli lukuki kuainisha ni nini haswa.........
Nimechungulia kwa mhusika mwenyewe anijuze kulikoni....
Nimechungulia kila kona lakini majibu utata mtupu.......
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?
Taarifa za uchunguzi huu hazitoi mwanga hata chembe....
Taarifa nyingine zakoroma hii ni dalili ya mnyanyaso utotoni...
Taarifa za mtaani kunisakizia ati ni matunda ya kazi yangu!
Taarifa za wapambe kushinikiza ni ushirikina wa wabaya wake!
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?
Angelikuwa anajikojolea kila siku ningeona ni ugonjwa tu..
Angelikuwa ni mkavu baada ya mechi ningesema pengine unguli ni tiba.....
Angelikuwa nyan'ganyan'ga baada ya mechi tu ningesema pengine amelogwa.....
Angelikuwa hudodesha kitanda siku moja moja tu ningehisi bakhati mbaya
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?..
Mkuu Rutta, subiri wataalamu waje.
Ruta, labda ndo squirting ila inakuja baadae usingizini. Kweli mapenzi ni challenge nyingine, mweh!
ngoja nii kopi hii niweke kwenye archive zangu bana
anaye kudodesha basi atakuwa ni kikojozi huyoooooooooooooo Hongera kwa Mashairi yako eee bwana wacha weeeeeeeeeeeeeNimechungulia kapu la utafiti kubaini chanzo chake........
Nimechungulia kauli lukuki kuainisha ni nini haswa.........
Nimechungulia kwa mhusika mwenyewe anijuze kulikoni....
Nimechungulia kila kona lakini majibu utata mtupu.......
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?
Taarifa za uchunguzi huu hazitoi mwanga hata chembe....
Taarifa nyingine zakoroma hii ni dalili ya mnyanyaso utotoni...
Taarifa za mtaani kunisakizia ati ni matunda ya kazi yangu!
Taarifa za wapambe kushinikiza ni ushirikina wa wabaya wake!
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?
Angelikuwa anajikojolea kila siku ningeona ni ugonjwa tu..
Angelikuwa ni mkavu baada ya mechi ningesema pengine unguli ni tiba.....
Angelikuwa nyan'ganyan'ga kabla ya mechi tu ningesema pengine amelogwa.....
Angelikuwa hudodesha kitanda siku moja moja tu ningehisi bakhati mbaya
Hivi ni kwanini hudodesha kitanda mara baada ya mechi tu?..
Hata wewe ni mtaalamu.................changia hapa........[MENTION]@patience96[/MENTION]
anaye kudodesha basi atakuwa ni kikojozi huyoooooooooooooo Hongera kwa Mashairi yako eee bwana wacha weeeeeeeeeeeee
Baada ya kusoma heading, nilidhani ni issue ya yale mamboz ya 'kapigio' aka kat***ro, kumbe sivyo mkuu.
katerero yatoka wapi na mechi ilikwisha kamilika?[MENTION]@patience96[/MENTION]
Mkuu nina wasi wasi na hiyo machine.... nadhani oil ina leak.....
Yalelo nkali! (ya leo kali)
Okada wamaanisha yahitaji service nini? Okada
Mimi huhisi ni ndoto nyevu.................yaani anakuwa hajamalizia vizuri......lakini akiingia usingizini ndiyo anaota kuwa bado ana-du......na kufikia kileleni.........[MENTION]@King'asti[/MENTION]
ruta unahitaji elimu kubwa sana ya sex mkuuMimi huhisi ni ndoto nyevu.................yaani anakuwa hajamalizia vizuri......lakini akiingia usingizini ndiyo anaota kuwa bado ana-du......na kufikia kileleni........ King'asti