warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Huddah Monroe, sio jina geni especially kwenye ulimwengu wa mastaa wa kike wanaokimbiza kwa sasa kwenye urembo Africa Mashariki. Habari mpya ni kuwa mrembo huyo kwa sasa ataonekana kwenye film kubwa iliyochezwa na waigizaji maarufu kutoka Nigeria na Kenya.
Hiyo pia itakua ni mara ya kwanza kwa staa huyo kushiriki kwenye film kama muigizaji, baadhi ya mastaa wakubwa walioshiriki kwenye film hiyo inayokwenda kwa jina la BROTHER JEKWU, ni Mike Ezuruonye kutoka Nigeria akishirikiana pia na baadhi ya mastaa kutoka kenya kama huddah na wengine. Pia film hiyo imerekodiwa Kenya na Nigeria na inategemea kuzinduliwa march 3 nchini Kenya.