Kwa wale tulio bahatika kuanza first year, tulio-graduate na tunaoendelea na masomo HKMU (certificate, diploma, undergraduate, postgraduate etc, )
Karibuni sana tufahamiane ,tueleweshane na kwa chochote kile juu ya chuo chetu pendwa,,, karibuni
Kozi gani wameruhusiwa maana nao walifungiwaKwa wale tulio bahatika kuanza first year, tulio-graduate na tunaoendelea na masomo HKMU (certificate, diploma, undergraduate, postgraduate etc, )
Karibuni sana tufahamiane ,tueleweshane na kwa chochote kile juu ya chuo chetu pendwa,,, karibuni
kwa undergraduate course mbili zimeruhusiwa ni :Kozi gani wameruhusiwa maana nao walifungiwa
akijafungiwa sema kuna baadhi ya course hazikuruhusiwa kwa mwaka huu na sio kwa HKMU tuKozi gani wameruhusiwa maana nao walifungiwa
exactly , sijasema kilifungiwa, hapana nasema kozi. At one time nilisafiri na Marehemu Prof Kairuki kwenda Paris on my masters training akaniahidi kuwa nikimaliza niende nikafundishe Microbiology na Immunology, tuliwasiliana sana akisisitiza niende nikimaliza, masikini akafa kabla sijamaliza kozi yangu, yakaishia hapo. Ni chuo kizuri tu!akijafungiwa sema kuna baadhi ya course hazikuruhusiwa kwa mwaka huu na sio kwa HKMU tu
pole sana mkuu ,pia hongera maana upo level ya juu sana kielimu pia asante kwa kutujuza kuhusu HKMU maana wengine n wageni kidogo,,,,,exactly , sijasema kilifungiwa, hapana nasema kozi. At one time nilisafiri na Marehemu Prof Kairuki kwenda Paris on my masters training akaniahidi kuwa nikimaliza niende nikafundishe Microbiology na Immunology, tuliwasiliana sana akisisitiza niende nikimaliza, masikini akafa kabla sijamaliza kozi yangu, yakaishia hapo. Ni chuo kizuri tu!
ulitaka tujue hilo haya tumeishajua sasaexactly , sijasema kilifungiwa, hapana nasema kozi. At one time nilisafiri na Marehemu Prof Kairuki kwenda Paris on my masters training akaniahidi kuwa nikimaliza niende nikafundishe Microbiology na Immunology, tuliwasiliana sana akisisitiza niende nikimaliza, masikini akafa kabla sijamaliza kozi yangu, yakaishia hapo. Ni chuo kizuri tu!
Hchi chuo kipo wap nna mdogo wangu anataka kusoma duploma ya clinical au pharmacyKwa wale tulio bahatika kuanza first year, tulio-graduate na tunaoendelea na masomo HKMU (certificate, diploma, undergraduate, postgraduate etc, )
Karibuni sana tufahamiane ,tueleweshane na kwa chochote kile juu ya chuo chetu pendwa,,, karibuni
Kipo mikocheni dar, karibu shule ya msingi mikocheni aHchi chuo kipo wap nna mdogo wangu anataka kusoma duploma ya clinical au pharmacy
Vp bado kinapokea wanafunz wa diplomaKipo mikocheni dar, karibu shule ya msingi mikocheni a
Sijui,Vp bado kinapokea wanafunz wa diploma
Kiko Tanzania Mikocheni ,jiji la Bashite.Hchi chuo kipo wap nna mdogo wangu anataka kusoma duploma ya clinical au pharmacy
Ada kubwa mkuu ila sijui sh.ngapi.ada zao zikoje?
Hakuna clinical medicineHchi chuo kipo wap nna mdogo wangu anataka kusoma duploma ya clinical au pharmacy
Kipo mkoa wa Dar es Salaam Kinondoni maeneo ya mikocheni,, karibu mkuuHchi chuo kipo wap nna mdogo wangu anataka kusoma duploma ya clinical au pharmacy