Hubert Kairuki Memorial University Special Thread

nsumbo

Member
Oct 14, 2017
9
3
Kwa wale tulio bahatika kuanza first year, tulio-graduate na tunaoendelea na masomo HKMU (certificate, diploma, undergraduate, postgraduate etc, )

Karibuni sana tufahamiane ,tueleweshane na kwa chochote kile juu ya chuo chetu pendwa,,, karibuni
 
d48c7fc3e30320e1961038666f8c0a38.jpg
 
Kwa wale tulio bahatika kuanza first year, tulio-graduate na tunaoendelea na masomo HKMU (certificate, diploma, undergraduate, postgraduate etc, )

Karibuni sana tufahamiane ,tueleweshane na kwa chochote kile juu ya chuo chetu pendwa,,, karibuni
Kozi gani wameruhusiwa maana nao walifungiwa
 
akijafungiwa sema kuna baadhi ya course hazikuruhusiwa kwa mwaka huu na sio kwa HKMU tu
exactly , sijasema kilifungiwa, hapana nasema kozi. At one time nilisafiri na Marehemu Prof Kairuki kwenda Paris on my masters training akaniahidi kuwa nikimaliza niende nikafundishe Microbiology na Immunology, tuliwasiliana sana akisisitiza niende nikimaliza, masikini akafa kabla sijamaliza kozi yangu, yakaishia hapo. Ni chuo kizuri tu!
 
pole sana mkuu ,pia hongera maana upo level ya juu sana kielimu pia asante kwa kutujuza kuhusu HKMU maana wengine n wageni kidogo,,,,,
 
exactly , sijasema kilifungiwa, hapana nasema kozi. At one time nilisafiri na Marehemu Prof Kairuki kwenda Paris on my masters training akaniahidi kuwa nikimaliza niende nikafundishe Microbiology na Immunology, tuliwasiliana sana akisisitiza niende nikimaliza, masikini akafa kabla sijamaliza kozi yangu, yakaishia hapo. Ni chuo kizuri tu!
ulitaka tujue hilo haya tumeishajua sasa
 
Kwa wale tulio bahatika kuanza first year, tulio-graduate na tunaoendelea na masomo HKMU (certificate, diploma, undergraduate, postgraduate etc, )

Karibuni sana tufahamiane ,tueleweshane na kwa chochote kile juu ya chuo chetu pendwa,,, karibuni
Hchi chuo kipo wap nna mdogo wangu anataka kusoma duploma ya clinical au pharmacy
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom