Hakuna simu inayotengenezwa china mkuu...unajua maana ya phone assembling...?? china anatengeneza simu zenye silcon materiols kidogo sana ...kwa kukumbusha tu kuna mobile OS nyingi tu kule china hata huawei na alibaba wanaza kwao,hawa alibaba wana ya kwao inaitwa YunOS,OS zingine kuna emotion os,smartisan OS,oxygen OS,mmi OS zipo nyingi sana mkuu na zote zimebase kwenye Linux kama iliyokua android OS na zinatumika China japo share kubwa ipo kwa android na iphone kwa hiyo hata kama unasema watazima hiyo android hawa jamaa wataendelea vizuri tu na simu zao na hasara itakua kwa producer wote wa simu duniani ambapo ni wa nje ya china
kuanzia iphone,sony,HTC,google pixel itabidi warudi wakatengenezee simu makwao huko maana kwa sasa asilimia 90 ya simu zina tengenezwa China.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi China imefunga kampuni ngapi za Marekani ruhusa ya kuoperate ndani ya China,ulisikia wapi Marekani ikilalamika?! Kuanzia Netflix,Fb,Google,Instagram, WhatsApp,nk. Zote hizo ni kampuni za Marekani ambazo zimepigwa marufuku kutoa huduma ndani ya China lakini leo kampuni moja tu ya Uchina imekabwa Koo hawaishi keleleKiukweli USA ndiyo inayo tapatapa haitaki kuona multipolar world
Kila mtu anayefanya biashara vizuri anamuwekea vikwazo hapa inaonekana ameshindwa kufanya biashara ushindani umemshinda kwa kiasi kikubwa na nchi za ulaya zimeanza kumstukia
Mfano kujenga tu bomba la gas kutoka russia kwenda Germany hataki ili tu aje kuuza LNG yake ambayo ni very expensive kwa ulaya
Na Germany imesema haitakubali watajenga tu hilo bomba maana anajua faida zake na yule ndio powerhouse ya Europe na bomba kwa sasa lipo 70%
Juzi Italy imetangaza kujiunga na silk road project ya china ambayo inapunguza karibia nusu ya gharama za biashara kwa sasa marekani alivyosikia hivyo kaanza kumpiga mkwara Italy
One road,one belt (silk) ni muunganiko wa network za barabara,reli na meli na njia zingine za usafiri kuanzia china mpaka ulaya mpaka africa kwa hiyo itafikia kipindi utatoka na gari/train kutoka china mpaka ulaya mpaka africa hapo ita harakisha sana global trade kwa kiasi kikubwa sasa hapa marekani anaona wivu sana china atapata influence kubwa mno na faida pia
kila atakaye ingia kwenye hiyo project anampa vikwazo huko ni kutapa tapa aache watu wafanye biashara kama kashindwa ushindani akae pembeni au ajipange upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Marekani hua hakurupuki kwenye ishu nyeti kama hizo.Hujui kinachoendelea mkuu hapo huawei wanajua kabisa hawezi kushinda hiyo ila wanachotaka kukifanya legal process zifuatwe huwezi kuban products fulani bila ya kua na evidence yeyote hapa huawei anataka ayaonyeshe mataifa mengine kwamba ni sheria gani au evidence zilizotumika kujudge kwamba huawei ni national security threat kwa USA kwa allies wake tena bila evidence yeyote ile
Hapa huawei anataka mataifa mengine waone hizo evidence kama sio hivyo basi itakua ni unfair competition tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutufunga kamba, Silicon siyo expensive kama unavyodai, inapatikana kwa wingi sana duniani (mchanga) na haihitaji processing kubwa kuipata.Hakuna simu inayotengenezwa china mkuu...unajua maana ya phone assembling...?? china anatengeneza simu zenye silcon materiols kidogo sana ...
Transistor na motherboard zinatoka singapore na South korea kwa hiyo mchina kaingia tenda ya kufanya electronic assembling tu na kupiga chapa kwenye simu....
Ni components ndogo sana anazotengeneza mchina ukilinganisha na simu yote kukamilika...
Nchi zenye uchumi mkubwa duniani ni kama Singapore ambae anapiga pesa kimya kimya kwa kuwatengenezea motherboard pamoja na transistor za kutosha kisha anaziuza kwa nchi ambazo zimeingia ubia wa kufanya assembling ya electronic processors ...unakuta Simu ya Nokia imetengenezwa China lakini sio kuwa imetengenezewa kule ila imefanyiwa assembling na chapa nchini China..ukiangalia ndani ya vifaa vyake utakuta transistor inachapa ya south korea ,RAM ina chapa ya Singapore au Finland ,mpaka motherboard inakamilika imehusisha kampuni kama 6 kutoka nchi tofauti ambazo zinatengeneza components tofauti..
Naomba ufuatilie kwa ukaribu sana mnunuzi mkubwa wa madini ya Silicon na germanium ,na mara nyingi utakuta ni Singapore na South korea ..manake nini...Vifaa bora vya kielectronics tunaangalia muundo wa electronic diode system pamoja na transistor component formation yake katika materials...kinachoifanya simu kuwa na kasi kubwa na ufasta wake ni asilimia ya silicon components ilizonazo ...kuna kiwango gani cha silicon katika conduction ya umeme kwenye simu!!?? hicho ndo kitaipa simu bei kubwa....Silicon smartee ipo Singapore na South korea ,kidogo na Finland na marekani .
Silicon ndo madini ghali duniani kwenye system za umeme ndo vifaaa vyenye transistor za silicon vina ghalama sana...
Ndo mana utakuta iPhone inauzwa bei tofauti tofauti lakini jina ni moja na ukubwa ni moja pamoja na Android Operating System( OS) pamoja na Kennelly version pamoja na Android version kuwa sawa ila bei inatofautiana kabisa...
Kuna iPhone ya laki 5 na kuna iPhone ya laki 8 na kuna iPhone ya milion 1.6 lakini zote ni toleo jipya...
Utofauti unakuja kwenye transistor zimetengenezwa kwa aina gani ya madini...je ni silicon au ..! kwa hiyo unakuta motherboard ya iPhone ya milion 1.5 imeundwa na 80% ya silicon components transistors ila iPhone ya laki 5 ina transistor ambazo zina 30% silicon materials ...kwa hiyo kasi ya operation lazima iwe tofauti..mwenye ya milioni moja na laki 5 lazima itakuwa na speed kubwa sana kuliko ya laki 5..
Kwa hiyo nchi za south korea na singapore zinapiga pesa ndefu sana kwenye haya mambo na zimefikia hatua ya kuwalipa watu hata ambao hawana kazi yoyote nchini mwao...manake kazi ya kuuza electronic components za hali nzuri inaingiza pesa nene sana...
Sent using Nokia 8 Plus
OS yeyote inazoeleka tu kama ni mtumiaji mzuri wa hivi devices tena unaambiwa ina fanana sana na android na imezidi features nyingi sana.Kinachobeba operating system ni user friendliness yake, popularity na compactibility, china anaweza kua na operating system hata 100 ila kama hazina hizo sifa watatumia developers tu wa hyo operating system.
Kwa sasa consumers hawana haja ya kuanza na operating system mpya hadi waje waizoee miaka 10 ijayo wakati tayari kuna stable na user friendly os za maana kama ios au android, hata wachina hawana huo muda. Wachina hawana choice zaidi ya kudepend kwenye foreign tech.
Unajua mkuu lazima USA atapetape maana unaambiwa mpaka miaka ya 1950 USA ilikua ina miliki uchumi wa dunia kwa asilimia 50% yani nusu ya uchumi wa dunia ulikua USA, ila kwa sasa wana 18% tu hii ni hatari kwao na walifikiri hakuna nchi zingine zitakazo ibuka inabidi tu wakubali matokeo kuwe multi polar worldHizi
Hizi ndo facy tunazohitaji maana usipokua makini utaona china anasurrender kumbe anayepata tabu ni US na shida ni Marekani kudhani dunia ya sasa inatishika naye kama enzi zile! Nchi zimejiimarisha na zina mifumo imara ya uchumi na teknolojia jambo ambalo ni hatari kwa USA
Kila mtu analinda cha kwake sisi tu huku africa ndio tuna dharau vya kwetu hata panadol tunataka za kenya tukienda dukaniNiliskia kuwa wabunge huko china walikua wanahamasisha raia zao kutumia devices za huawei tu na sio nyingine .... yani wntaka kila raia atumie huawei tu.. na sio iphone . Sasa inakuaje wao wanareact sanaaa
Kaka wa sasa zinatengenezwa tu kwa sababu Linux imesaidia sana hata hiyo android ni basis ya linux ambayo ni open source kuna chuo kimoja hapa bongo walikua na hiyo project na walifikia pazuri sijui kwa sasa wameishia wapiUnadhani ni kazi rahisi sana kuwa na OS,waulize Korea Kusini na Russia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli USA bado anamiliki robo 24.5% ya Uchumi wa Duniani Kwa kuwa na GDP ya 21usd trillion. China kwake ndio itakuwa shida kwasababu soko kubwa la China ilikuwa ni Marekani karibia Robo ya bidhaa zake zinauzwa Marekani. Kwasasa wataalam toka ianze trade war China Economic growth imeslowdown. Ukuaji wa Uchumi umepungua Kwa kiasi kikubwa Sana . Effect kubwa ni Kwa China . Akikaza Trump manake itakuwa shida kubwa Sana. Hata wakati Trump ametembelea China alikuwa tested with high respect China wakihofia Trade War kabla Trump hajainitiate economic trade War. ukifuata trend ya Uchumi wa Dunia the Soviet Union ya miaka ya 1980 alishakuwa tishio Kwa USA laknin baada ya kusambaratika ikawa Japan but Japan nae saizi kapotea kwenye Ramani because of again population. Kwasasa ni Mchina ambapo USA hatakubali kushindwa kirahisi .Unajua mkuu lazima USA atapetape maana unaambiwa mpaka miaka ya 1950 USA ilikua ina miliki uchumi wa dunia kwa asilimia 50% yani nusu ya uchumi wa dunia ulikua USA, ila kwa sasa wana 18% tu hii ni hatari kwao na walifikiri hakuna nchi zingine zitakazo ibuka inabidi tu wakubali matokeo kuwe multi polar world
Anamkataza Germany asisambaze 5G network kupitia huawei eti kwamba huawei ata spy europe na wakati yeye USA kipindi cha Obama ndiye aliyekua na scandal ya ku spy viongozi wa wa ulaya wakina merkel
Naona germany amegoma kila pressure anayopewa na USA kwa sasa kuanzia kupeleka navy force kule Kerch straight crimea,bomba la gas na ku ban huawei technology
Mtu akinunua silaha za kujilinda za urusi anapigwa sanctions anataka zinunuliwe zake na watu wanataka wanunue za russia huu ni wivu mkubwa sana wa kibiashara
kuna siku sanctions hazita fanya kazi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lazima waende kwenye soko la china?hakuna masoko mengineHuwezi kushindana kibiashara kwa kutegemea wizi wa Technology. Wachina ni mwisho kwa kuiba technology kutoka USA.
US-China trade talks: Technology theft may be biggest hurdle
Hot intellectual property
But an even thornier issue than the US trade deficit is intellectual property. Foreign companies have long complained that they are forced to hand over proprietary technology to Chinese partners in return for permission to sell their products to China's massive population.
As part of a list of recommendations for the US negotiating team, the American Chamber of Commerce in China said: "An interlocking set of policies … results in foreign companies being coerced or induced to transfer technology as a precondition for market access, or denied market access if they fail to do so."
Kwanza umesahau kwamba China ni nchi ya ki socialist japo kwa sasa wanaita political capitalism na ndio mfumo waliojichagulia huwezi kuwaingilia kama tu USA walivyochagua ubepari uliokomaaHivi China imefunga kampuni ngapi za Marekani ruhusa ya kuoperate ndani ya China,ulisikia wapi Marekani ikilalamika?! Kuanzia Netflix,Fb,Google,Instagram, WhatsApp,nk. Zote hizo ni kampuni za Marekani ambazo zimepigwa marufuku kutoa huduma ndani ya China lakini leo kampuni moja tu ya Uchina imekabwa Koo hawaishi kelele
Ukweli ni kwamba China ni wezi wa Teknolojia za wenzao tena wizi wa waziwazi tukianzia na sheria zao za kulazimisha makampuni ya nje kuungana na yale ya China ili yaruhusiwe kufanya kazi ndani ya China. Bado hapohapo sheria za kulazimisha kushare IP kwa makampuni ya kigeni. Hapo hatujaongelea cyber attacks kwenye kampuni kubwakubwa za West hasa za Aerospace,nk. Anachokitaka Marekani ni usawa kwenye biashara na kukomesha biashara za janjajanja za China,iweje China ifunge soko lake kwa kutoa access kidogo kwa kampuni za nje ilihali kampuni zao zikifurahia masoko huru kwenyw Nchi za wenzao hasa za West ikiwemo Marekani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa USA inakurupuka sana kila kitu ina ban tu hadi ma bomba ya gas daaahMkuu Marekani hua hakurupuki kwenye ishu nyeti kama hizo.
Watu wametumia zaidi ya muongo mmoja kuisuka na kuitengeneza case unadhani utachomoka kirahisirahisi tu
How the US took more than a decade to build its case against Huawei
US indictment shows FBI interviewed Huawei founder in 2007
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukichukua GDP peke yake kabla hujaweka PPP unakua hujaelezea uchumi vizuri wa nchi husika ndio maana hata IMF huwa wanaangalia uchumi uliobase kwenye nguvu ya manunuzi(purchasing power parity)Sio kweli USA bado anamiliki robo 24.5% ya Uchumi wa Duniani Kwa kuwa na GDP ya 21usd trillion. China kwake ndio itakuwa shida kwasababu soko kubwa la China ilikuwa ni Marekani karibia Robo ya bidhaa zake zinauzwa Marekani. Kwasasa wataalam toka ianze trade war China Economic growth imeslowdown. Ukuaji wa Uchumi umepungua Kwa kiasi kikubwa Sana . Effect kubwa ni Kwa China . Akikaza Trump manake itakuwa shida kubwa Sana. Hata wakati Trump ametembelea China alikuwa tested with high respect China wakihofia Trade War kabla Trump hajainitiate economic trade War. ukifuata trend ya Uchumi wa Dunia the Soviet Union ya miaka ya 1980 alishakuwa tishio Kwa USA laknin baada ya kusambaratika ikawa Japan but Japan nae saizi kapotea kwenye Ramani because of again population. Kwasasa ni Mchina ambapo USA hatakubali kushindwa kirahisi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeeni weeee ila ukiona kitu zima linapigana na mtoto mtaani kitumbo wazi jua mtoto kashamzidi kitu zima pumzi.Wakati utatueleza.Kwa hapo marekani ina upper hand, iko na advantage. Walidanganya wakijua hawatakuja kukamatwa.
Cha ajabu huyo CFO wao anaeshikiliwa Canada analeta utetezi wa kijinga kua aliandalia power point slides yeye alikuja tu kusoma na hajui kilichokua kimeandaliwa, ujinga wa namna gani, wewe mhasibu mkuu uandaliwe slides ukazisome bila kujua zinasema nini?
Kwa hapa Marekani atawasumbua, nasikia wanajibaraguza tu kua hapo walipofika marekani haitaweza kuwarudisha nyuma na mambo kama hayo ila wanakiri kua wataathirika.
Marekani sio nchi ya mchezo.
Popolation 300.something million, china 1.3B lakini wanawekewa vikwazo, kweli akili kubwa inaongoza Dunia.
Washauri wapeleke na jeshi kabisa maana ndio hua chaguo lao LA mwisho.Mkuu Marekani hua hakurupuki kwenye ishu nyeti kama hizo.
Watu wametumia zaidi ya muongo mmoja kuisuka na kuitengeneza case unadhani utachomoka kirahisirahisi tu
How the US took more than a decade to build its case against Huawei
US indictment shows FBI interviewed Huawei founder in 2007
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua ni company gani zinatengeneza simu kwa wingi zaidi duniani?Hivi unajua iphone inawaingizia faida kiasi gani wachina?
Huu Uzi toka mwanzo nilitaka kuleta ushabiki na fix lkn nilivyosoma comment nikagundua huu Uzi unaitaji akili kubwa na factKila mtu analinda cha kwake sisi tu huku africa ndio tuna dharau vya kwetu hata panadol tunataka za kenya tukienda dukani
uchumi wa viwanda uanzie kwenye kupenda vya kwetu kwanza na kama vibovu tukatoe maoni kwa wazalishaji wenu tuwachane nini chakufanya sasa kibaya zaidi customer care ya company za bongo hawana hata utamaduni wa kuzunguka masokoni kuchukua maoni(feedback) kwa wateja wao juu ya ubora wa bidhaa zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani yazuia mashirika ya umma
Apple aongoza kwa market share ya simu duniani japo miaka hii ya karibuni ndio alipitwa kwenye kutengeneza simu kwa wingi na huawei na Samsung