Huawei y530 vs Tecno M5 naomba ushauri

Huawei y530 vs Tecno M5 naomba ushauri

yaliyomoyamo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
603
Reaction score
452
Habari zenu wakuu!

Kwa muda mrefu nimekuwa naomba ushauri kuhusu these brands of mobile phones.

Lakin naona bado sijaridhika vizuri leo nimeonelea nije rasmi kuomba ushauri kwa mwenye kuzijua vizuri hizi phones.

Capital yangu ni about 230,000 nimepanga kununu huawei y530 ile ya tigo au Tecno M5.

Huawei y530 Nasikia ni nzuri sema tatizo Nasikia ina stuck sana sababu ina ram ndogo 512 ram. je, ni kweli ina stucks sana au sound tu?

Tecno M5 ina 1gb of ram sema tatizo Nasikia hizi simu za mediatek sio nzuri pia screen colour yake iko verry poor 256k sio 6m

So naomben ushauri kati ya hizo brand mbili hapo, ipi ni bora?

Naomba tusilete ushabiki wa aina za simu wala tusikariri Majina, kwa wenye kuzijua au waliowahi kuzitumia nitashukuru zaidi kupata maoni yao.
 
Natumia huawei y530 no nzuri sanaa ukilinganisha na m5 lkn tatizo ni moja kuna muda mtandao unapotea ghafla !! Mpk urestart lkn kwangu ni nzuri
 
Haaa kaka mie nina y530, ni nzur sana haijawahi stack hata siku moja na all tyme nipo net. Hata kwa muonekano ni nzuri
 
hii habari ya ku-stack kwa y530 sijasikia ila nimesikia kuhusu y300 sijui tatizo ni network au nini?!
 
Habari zenu wakuu!

Kwa muda mrefu nimekuwa naomba ushauri kuhusu these brands of mobile phones.

Lakin naona bado sijaridhika vizuri leo nimeonelea nije rasmi kuomba ushauri kwa mwenye kuzijua vizuri hizi phones.

Capital yangu ni about 230,000 nimepanga kununu huawei y530 ile ya tigo au Tecno M5.

Huawei y530 Nasikia ni nzuri sema tatizo Nasikia ina stuck sana sababu ina ram ndogo 512 ram. je, ni kweli ina stucks sana au sound tu?

Tecno M5 ina 1gb of ram sema tatizo Nasikia hizi simu za mediatek sio nzuri pia screen colour yake iko verry poor 256k sio 6m

So naomben ushauri kati ya hizo brand mbili hapo, ipi ni bora?

Naomba tusilete ushabiki wa aina za simu wala tusikariri Majina, kwa wenye kuzijua au waliowahi kuzitumia nitashukuru zaidi kupata maoni yao.

soma hii post ya Chief mkwawa utaelewa kwa nn inakupasa usinunua tecno
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...utumia-simu-feki-clone-copy.html#post11033470

Kumbuka hauwezi linganisha simu ya Mediatek na quallcom snapdragon
 
Toka nijue tofauti ya simu feki/clone na original haya masimu ya tecno nimeyadharau sana. Bora ninunue black and white za nokia
 
kwani tecno ni feki au clone? au hujui unachoongea?
 
Mkuu nimepitia hiyo thread ya chief-mkwawa,
Kweli nimeshawishika kuchukua huawei y530

Lakin sasa wasiwasi wangu ni kuhusu huo huvumi wa kwamba hizi simu za huawei y530 huwa zina stucks sana?

Je, habari hizo ni za kweli au uzushi tu?

kaka kama una matumizi mengi achana nayo, tafuta moto e. japo sijui wapi pa kukwambia utakapoipata ila zunguka madukani kwa bahati unaweza kuipata.

pia kama una uelewa kidogo wa kueka rom narecomend zaidi nokia x2.
 
Tecno ni feki ndo maana hata kwenye mitandao na masoko yalioendelea huzikuti

feki maana yake sio original, ya kuiga, sio halisi, na nk.

ndio nikakuuliza unajua maana ya fake? unajibu ndio maana huzikuti kwenye mitandao na masoko yaliyoendelea. maana yako ya fake ina tofautiana na ile ya kikawaida...
google translation wanasema hivi...
Definitions of fake

adjective
not genuine; counterfeit.
"fake designer clothing"
synonyms: counterfeit, forged, fraudulent, sham, imitation, pirate(d), false, bogus, invalid, inauthentic, phony, dud; imitation, artificial, synthetic, simulated, reproduction, replica, ersatz, faux, man-made, dummy, false, mock, bogus, pretend, phony, pseudo

noun
a thing that is not genuine; a forgery or sham.
"the painting was a fake"
synonyms: forgery, counterfeit, copy, pirate(d) copy, sham, fraud, hoax, imitation, mock-up, dummy, reproduction, phony, rip-off, knockoff, dupe

verb
forge or counterfeit (something).
"the woman faked her spouse's signature"
synonyms: forge, counterfeit, falsify, mock up, copy, pirate, reproduce, replicate, doctor, alter, tamper with
 
Tecno ni feki ndo maana hata kwenye mitandao na masoko yalioendelea huzikuti

ulitakiwa useme hazina kiwango kama ndio umekusudia hizo.
lakiini maji ya kunywa cool blue huyakuti uswahilini. wakati ni maji ya kawaida tu , haya haya machafu yanachujwa kwenye mtambo mmoja tu. ukienda na dumu la lita 20 unauziwa kwa 3000 tu....
ni maamuzi ya soko tu kaka.
wameamua ku target wateja wa africa. na kweli wameliteka soko la africa. kenya , nigeria. tz hazisemeki
 
Habari zenu wakuu!

Kwa muda mrefu nimekuwa naomba ushauri kuhusu these brands of mobile phones.

Lakin naona bado sijaridhika vizuri leo nimeonelea nije rasmi kuomba ushauri kwa mwenye kuzijua vizuri hizi phones.

Capital yangu ni about 230,000 nimepanga kununu huawei y530 ile ya tigo au Tecno M5.

Huawei y530 Nasikia ni nzuri sema tatizo Nasikia ina stuck sana sababu ina ram ndogo 512 ram. je, ni kweli ina stucks sana au sound tu?

Tecno M5 ina 1gb of ram sema tatizo Nasikia hizi simu za mediatek sio nzuri pia screen colour yake iko verry poor 256k sio 6m

So naomben ushauri kati ya hizo brand mbili hapo, ipi ni bora?

Naomba tusilete ushabiki wa aina za simu wala tusikariri Majina, kwa wenye kuzijua au waliowahi kuzitumia nitashukuru zaidi kupata maoni yao.

ongeza 50 mkuu nikupe Nokia Lumia 620
 
kaka kama una matumizi mengi achana nayo, tafuta moto e. japo sijui wapi pa kukwambia utakapoipata ila zunguka madukani kwa bahati unaweza kuipata.
pia kama una uelewa kidogo wa kueka rom narecomend zaidi nokia x2.

Asante mkuu, kwa hapa dar zinaweza patikana wapi hizo moto e?

Maana leo nimezunguka maduka mengi kariakoo sijaziona mkuu.

Na unaweza ku reccomend price yake inakuaje?
Ili wajanja wasije kunipiga na price ya juu sana mkuu?
 
official bei yake ni kamna 200,000 bila kodi na faida huenda madukani ikawa kama 250,000
 
Back
Top Bottom