Huawei y320 haina MMI code

Huawei y320 haina MMI code

kasambalakk

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
126
Reaction score
17
Habari ndugu, naomba msaada kuna simu ya kichina imekuja ya huawei y320 lakn ilikuwa ya kampuni za simu chini haina option ya MMI code ambayo ndio unaweza kujua salio lako kwa kubofya *102# na kuweka salio kama *104*.......# haina hio option hata kuweka bundle inasumbua.

Ni line mbili zote zinasoma. Je naweza kupata muongozo kwa kutatua hili. Inatumia android 4.4.2.
Asanteni

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Back
Top Bottom