Huawei Y300 inashindwa kufunga baadhi ya "website" naomba msaada

Huawei Y300 inashindwa kufunga baadhi ya "website" naomba msaada

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Habari wadau .

Naomba ufumbuzi kwa tatizo hili..

Natumia HUAWEI Y 300 ,Kuna site flani nimeahindwa kufungua kabisa .

Nikifungua inaniweka kaalama cha kufuli na page inabaki black.

Site yenyewe ni '' www.meridianbet.co.tz.

Naomba utatuzi.
 
usitumie opera tumia browser ya kawaida ya simu

na pia nimejaribu kwa pc ina content za flash nyingi sana sidhani hata kwa browser ya kawaid ya simu itakuwa nzuri
 
Back
Top Bottom