Mm natumia iPhone 6 ndo mwisho wa matatizo zingine izo hakuna kitu
Processor yao ya kirin mpya (930 kama sjakosea) imepitwa na snapdragon 810 na 808.Huawei za bei kubwa ni kali sana, hata zingine zinazidi ubora wa zile simu maarufu za android. Cha muhimu katika kulinganisha simu ulinganishe simu zinazoendana, sio unalinganisha Y200 na Note2. Simu kubwa za huawei hawatumii mediatek na hata material made, muonekano ni wa kivyao vyao.
Ni nzur ukicompare na hz brand ndogo ndog like tecno,,,ila co kwa wakongwe kina LG,sonny,samsung,,,etc
Mm natumia iPhone 6 ndo mwisho wa matatizo zingine izo hakuna kitu
Huawei ni simu average hawajafika level za kina samsung sony lg htc ila wanajitahidi. Kitu kizuri nilichopenda kwa hawa jamaa ni emotion ui (user interface yake) imekaa kidunia yetu zaidi jamaa wamemodify mambo mengi sana kama vile kuieka mobile network juu kabisa kwenye settings.
Mimi natumia Siemens note 7 ni balaaa jamani
Ni kipi ambacho hawajafikia?
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple
2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk
3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips display za kawaida au tft
Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyumaUe.
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple
2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk
3.whawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk " ips display za kawaida au tft
Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple
2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk
3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips disp lay za kawaida au tft
Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.
Nia na madhumuni makubwa ya Android OS ninkuwa huru na kumpa mtumiaji uwezo wa kufanya lolote na hardware yake..Mimi ni mpenzi wa simu za android, nakiri kwamba huawei ascend P7 na mate 7ni mojawapo ya simu nzuri sana. Kwa wale wapenz wa huawei fungukeni experience zenu hapa
Umewahi kutumia sumsung, iPhone n ukacompare o unarelly kwenye reviews?