Huawei wana brands kama P6 au P7 ambazo ni high end phones sio kama hizi Y series.
Tecno nao hawako nyuma. Wana series ya Phantom kama Z au Tecno R7 nazo ni nzuri sana. Ata bei zao ni ghali.
Hatujui wewe una budget gani kwenye ili swala ili tujatibu ku recommend simu nzuri kati ya hayo makundi mawili. Uzuri wa Tecno na Huawei zipo simu kuanzia za Laki 1 hadi laki 7.
Simu zote ni nzuri, ila tu tecno amekuwa na jina baya kutokana na historia. Lakini kama bajeti yako ni nzuri nunua Huawei P6 kwa high end smart phone. Endapo ni mtu wa kuangusha angausha simu, nunua techno phantom.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.