Huawei P series: Huawei P40, P40 Pro, P40 pro + A new Generation of Cameras

Hivi haiwezekani kuweka google apps(mfano google maps,calender etc)?..
Uwezekano upo kwa njia ya Apk.Kuna baadhi ya Apps zinapatikana kupitia app store yao,yaani Huawei App Gallery,ambayo tayari inakuwa pre installed kama vile uonavyo kwenye hizo picha za mtoa post.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Halaf nashindwa kuelewa hii imekaaje, maana ukiingia GSM arena kuangalia specs Kwenye platform OS, Main OS inaonesha wanatumia Android 10, japo sasa inakua modified na kuongezewa Huawei EMUI 10.1
Ni kweli mkuu.Kumbuka kuwa Android ni open os kwa kila mtengenezaji wa simu.Anachokosa Huawei hapo ni GMS,yaani Google mobile services.Huawei kwa sasa anayo huduma ya kwake,yaani Huawei mobile services,HMS.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Athari ni kama kushindwa kupata uapdates ya hzo apps kama vile ungekua unatumia playstore kawaida...pia security yake ni ndogo kwa sababu sio official way ni unafanya sideload.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Apps ambazo zipo kwenye store yao, yaani, Huawei App Gallery,updates unapata kama kawaida.Unaweza ukainstall Huawei App Gallery kwa njia ya Apk,kama simu yako sio Huawei na ukaangalia apps zilizopo.Mfano,kuna boomplay,vidmate,we chat,tiktok,Snapchat, Microsoft office, IMO,na zingine kibao.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Ishu inayo rise ni kwenye security kuhusu simu yako
Mkuu, hakuna usalama kwenye simu hata kidogo,tunajifariji tu.Ukweli ni kuwa faragha zetu wanapigia mihela kila uchwao.Kwa mfano, Facebook kuna usalama gani kule mkuu?.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Mkuu, hakuna usalama kwenye simu hata kidogo,tunajifariji tu.Ukweli ni kuwa faragha zetu wanapigia mihela kila uchwao.Kwa mfano, Facebook kuna usalama gani kule mkuu?.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Mi nazungumza security ya simu na siyo personal security
 
Mi nazungumza security ya simu na siyo personal security
Mkuu,kama ni usalama wa simu nina imani upo. Huawei hawajaanza kutoa simu leo.Kumbuka pia bado wanatumia Android.Kama Simu za Android zina usalama wa kutosha,basi hata hizi simu zinao.Kama simu za Android hazina usalama wa kutosha,basi hizi pia hazina.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom