Huawei P series: Huawei P40, P40 Pro, P40 pro + A new Generation of Cameras

Hawa Huawei ndo niliona wanauza simu milion 16.

Ila kila mtu na akipendacho, mimi sijawahi kuzipenda hata kidogo hizi simu ingawa ni nzuri na bei ghari sana baadhi
 
Naona wameendeleza mchezo wao ku copy iOS. Hadi AI assistant wamemuita Celia “Siri”

Mchina anafeli sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ninayo hapa apps kibao hazikubali..
Jf natumia kwa browser haikubali kupandisha Picha..
hizi Simu ni shida
Tafuta app inaitwa chatpatner install, ukishainstall, usilogin select reapir, itakuletea google service then unaselect activate sehem ya google utalogin atapata google playstore na app zake
 
Ninatumia 9apps.
Nimrdownload Huyo chatpatner kwenye kuinstall imenirudisha kwa 9apps,
nakosea wapi?
 
Pia ilikuletea sehem ya kuligin kwenye googke servive,. Na ilitakiwa baada la login hii kwenye play service urestart simu, bila hivyo haikubali
Naona haujanielewa,

Baada ya kudownload Hiyo chatpatner nimeclick kuinstall,
Ikanirudisha kwenye 9apps na kufungua 9apps,
Kiufupi Hiyo chatpatner haijafunguka inaniredirect kwa 9apps
 
Naona haujanielewa,

Baada ya kudownload Hiyo chatpatner nimeclick kuinstall,
Ikanirudisha kwenye 9apps na kufungua 9apps,
Kiufupi Hiyo chatpatner haijafunguka inaniredirect kwa 9apps
Chat patner umedownload Wapi
 
sjosh4 nitumie njia gani kudownload nadhani kwa vile Uc min nimeitoa kwenye 9apps ndo maana inagoma kuinstall Chatpatner
 
Hivi wewe sjosh4 si umpe Hornet maelezo yanayotosheleza maaana unamzunguka sana wakati ungeweza kumuelezea akaelewa.
Kama una nia msaidie.

Kama hutaki kumsaidia, basi, atafata ustaarabu mwingine.

Ni kitu kirahisi ila unazunguka tuuu!
 
Nadhani kanielekeza vyema Ila Mimi nimetulia browser iliyo ndani ya 9apps..

sasa njia nyingine ya kudownload Hiyo chatpatner ndo inanitatiza
 
Nadhani kanielekeza vyema Ila Mimi nimetulia browser iliyo ndani ya 9apps..

sasa njia nyingine ya kudownload Hiyo chatpatner ndo inanitatiza
Kama unatelegram nikutumie ina mb 147. O link udownload
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom