huawei mobile partner download | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huawei mobile partner download

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by UncleUber, Oct 26, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  kuna mtu alikuwa anataka huawei mobile partner ambayo unaweza kupiga na kuweka salio moja kwa moja, sikumbuki vizuri sikumbuki ni NingaR au leh , basi nimeona nishee na nyie hii hapa, hii sio ile tuliyoizoea, hii iko tofauti kidogo

  [​IMG]


  baadhi ya features zake

  • inasupport calling
  • inakuja na theme 5 tofauti
  • Latest version ya mobile partner
  • Auto apn kwa kila operator
  • ina generate code za kuangalizia salio (ussd) tofauti kwa kila mtandao.

  theme zake mpya hizi hapa  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG]

  download hapa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Shukrani sana mkuu...ningekuwa natumia modem ningefaidi sana hii kitu...Ngoja nitawafowadia watumiaji wa modem ili wafaidike.
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  ZTE wanayo nzuri kama hii?
   
 4. m

  manmoshi Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nime jarib kuinstal but ina fail kumaliza, ina sema extract file.check data bin, naomba msaada
   
 5. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  shukrani sana C6 ngoja niifanyie kazi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
 8. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

  DEVUQUARTER-DEVUKOTA JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dashboard zote zipo mzuka.
  me shida yangu ni jinsi ya kupakia screen shoot kubwa kama alivyofanya C6 siyo vidogo dogo kama aliyopakia Shaffin Simbamwene
   
 9. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  subiri wenyewe waje
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  unachotakiwa kufanya ni kui right click picha hiyo kisha kwenye menu chakugua "copy link location" sasa njoo kwenye sehemu ya kuandikia post yako pale juu chagua "insert image" chagua "from URL" kisha paste kwenye kile kibox kimeandikwa URL lakini kumbuka ku untick "Retrieve remote file and reference locally" , lasivyo itakupa error message!
  Haya sasa jaribu!
  devuquarter na Shaffin Simbamwene
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mbona mie naribu hazidownlodiki
   
 12. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hizi link ukidownload unapata audio files, hamna kitu hapo
   
 13. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  kweli nimeamini Unaweza kuwadanganya watu flani kwa muda wote na unaweza kuwandanya watu wote kwa muda flani lakini huwezi kuwandanya watu wote kwa muda wote.

  MBONA HIZO LINK ZIPO FRESH WATU TUMEPAKUA BILA TABU.
  KAMA UMEKWAMA SEHEMU SEMA USAIDIWE
   
 14. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,767
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  Format ya .dat mara nyingi window inaitambua inafunguka na vlc (kama unayo) au media file yoyote so first time kama ni mgeni lazma udhani umedownload video/audio file

  Nahisi jamaa kachanganya hapo
   
 15. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  may be
   
 16. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  kwenye link yangu kuna file mbili, .exe na lingine .bin au .dat sikumbuki vizuri, .bin au .dat vlc inaiona km ni vcd video format so itataka kuiopen km default program
   
 17. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #17
  Nov 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hivi inaweza ikawa imetatua kale katatizo ketu ka "Auto Disconnect?"
   
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Nov 3, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,767
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni sever side mkuu hata uspotumia dashboard ukacreate manual dial up conection same issue inatokea
   
 19. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #19
  Nov 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  By the way, imeshapatikana solution?
   
 20. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  nipe contact za jamaa maana nataka kujiunga na ile mambo niliyokwambia nilivokuja town, ni pm contact zake nimchek jamaa
   
Loading...