HUAWEI imerudi kwa kasi sokoni

Kwasasa hiyo simu labda inaweza ikawa ni nzuri kwa wachina wenyewe. Lakini kwa nchi zingine hiyo simu msishoboke nayo kukununua. kwa sababu hiyo simu bado ina tatizo.
Kwa sababu huawei baada kuziiwa na google kutumia system ya android walikuja na system yao inaitwa harmonyos sasa hiyo system inapungufu mengi sana.
Kwanza hiyo simu hauwezi kudownload vitu vingi na hata vile unavyo vidownload baada ya miezi mitatu vinafutika.
Usikute unatumia Ascend sijui mate 7
Hebu katafute walau P50 halafu urudi kutoa mrejesho
 
Kwasasa hiyo simu labda inaweza ikawa ni nzuri kwa wachina wenyewe. Lakini kwa nchi zingine hiyo simu msishoboke nayo kukununua. kwa sababu hiyo simu bado ina tatizo.
Kwa sababu huawei baada kuziiwa na google kutumia system ya android walikuja na system yao inaitwa harmonyos sasa hiyo system inapungufu mengi sana.
Kwanza hiyo simu hauwezi kudownload vitu vingi na hata vile unavyo vidownload baada ya miezi mitatu vinafutika.
Huu uongo acha kupotosha watu kijana
Nilienda kununua mate dukani mwenyewe (sio yangu lakini nilitumwa)
Mwenyewe alitumia akatumia akatumia maana alinunua mwanzo wa mwaka huu iliharibika kwa ujinga wake aliiangusha sijui mwanawe aliigonga nyundo
Nanilimuuliza sababu ya skendo kama hizi akasema hakuna huo upuuzi alikua anatumia mambo yote safi kabisa
Ila mate 60 jamaa wametoa bongea moja ya simu
Ila haikuwahi kua na shida hizo ulizozileta hapo juu jama yupo mombasa kenya au wewe unasemea wapi labda ambapo vitu hua vinafutika vyenyewe?
 
Back
Top Bottom