Huawei G630

Huawei G630

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habar wanandugu, nimenunua simu taja hapo juu nmekumbana na tatizo kila nikijarbu kuupdate na kuinstall app kupitia play store napokea info inayoonesha kuna error sifaham kutatua hii shida. Msaada tafadhali, nmeambatanisha na picha kwa maelezo zaid
 

Attachments

  • 1429722801142.jpg
    1429722801142.jpg
    47.9 KB · Views: 149
Hiyo inakua ni server side error... Kama umejaribu kusubiri baada ya dakika kadhaa then ikakupa tena error hiyo basi fanya ivi ili ufanye cache clearing..

Ingia Settings > Apps > All > Google Play Store: Force Stop, Clear Data, Clear Cache

Then add tena account yako.
 
sikudownload app yyte zaid ya kuztransfer through bluetooth kutoka kwnye simu niliyokua natumia mwanzo, ss nilipotaka kudownload na kuupdate app ndo ikaniletea hvyo
 
sikudownload app yyte zaid ya kuztransfer through bluetooth kutoka kwnye simu niliyokua natumia mwanzo, ss nilipotaka kudownload na kuupdate app ndo ikaniletea hvyo

Fanya kama nilivyoeleza hapo juu afu leta feedback, usisahau ku restart simu yako baada yakufuata zile process.
 
Yeah nimeiacha kwa mda sasa inafanyakaz vizur asante snipa kwa ushaur
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom