Wana JF wenzangu ninaombeni mnisaidie code za ku-unlock huawei yangu ambayo ilikuwa inatumia chip ya airtel,lakini kwa sasa naona kama airtel inasumbua sana kwa huku nilipo.Naitaji nitumie laini ya vodacom ambayo kwa hukunilipo angalau inaspeed ya kuridhisha.
nilijaribu ku-google nikaambia code inauzwa dola 2,ningeweza kununua ila misio mjanja wa kufanya transaction za online. Naombeni sana kwa atakaye weza kunisaidia anisaidie kwani ninauitaji nao mkubwa sana.
Asanteni.