Hu ugonjwa unanitesa...miaka

Hu ugonjwa unanitesa...miaka

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,572
Reaction score
3,251
Waku habari,za mida hi,kuna hu ugonjwa umenitokea kwenye kanyagio la mguu na miaka zaidi ya kumi,nimeenda hospt ila siku pata dawa ya kunifaa,sijui ni ugonjwa gani?niliwai ku geogle wakaniambia unaitwa deadskin...unanipa.maumivu sana nikikanyaga tyriz au sehemu ya baridi...
 
Attachments

  • IMG_20250508_151810.jpg
    IMG_20250508_151810.jpg
    1.7 MB · Views: 25
Waku habari,za mida hi,kuna hu ugonjwa umenitokea kwenye kanyagio la mguu na miaka zaidi ya kumi,nimeenda hospt ila siku pata dawa ya kunifaa,sijui ni ugonjwa gani?niliwai ku geogle wakaniambia unaitwa deadskin...unanipa.maumivu sana nikikanyaga tyriz au sehemu ya baridi...

Ni vyema kueleza kwa kirefu juu ya tatizo lilivyoanza kwenye eneo husika na mabadiliko uliyoyaona na picha yako/mguu wako husika.

Ingawa bado umuhimu wa kumwona mtu kiuhalisia ni mzuri zaidi.

Picha hizi za mtandaoni, unaweza kuleta kitu kisicho chako/kisichokuhusu kwa kosa la jinsi ulivyotafuta/google.
 
Mguu wangu ni huo...na kitu chenyewe ndo hicho,kina kuwa kama kisugu...hata nikate na wembe eneo hilo sisikii maumivu,nichome na sigara sisikii chochote....kila nikikikata natoa ngozi ngumu kama.sugu,baada ya mda inarudi tena
 
Attachments

  • IMG_20250509_171500.jpg
    IMG_20250509_171500.jpg
    1.8 MB · Views: 28
Mguu wangu ni huo...na kitu chenyewe ndo hicho,kina kuwa kama kisugu...hata nikate na wembe eneo hilo sisikii maumivu,nichome na sigara sisikii chochote....kila nikikikata natoa ngozi ngumu kama.sugu,baada ya mda inarudi tena

Hii inaitwa Corns and Calluses.
Inatokana na umepo wa msuguano wa sehemu ya mwili na kitu kigumu. Inakumwa kama kitu kinakuchoma au ulichomwa na mwiba uko ndani, ukikandamiza maumivu huzidi.

Tiba:
1: Corn Removal plaster/pads.
Zinapatikana maduka makubwa ya dawa.
Unabandika plaster unaiondoa baada ya saa 24, unaangalia kama kimeyeyuka au la. Unaweza kubandika kingine.

Screenshot_20250509_210642_Chrome.jpg

2: Upasuaji mdogo wa kukiondoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom