Tetesi: "Hu arr yuu"- kumbe ilikuwa nguvu ya mshika bomba la daladala!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,547
Reaction score
28,493
1766854505190.jpeg
.
Ulanzi si maji.
Na ukiutwika kisawasawa, simba utamwona kama paka tu.
Na kwa uhakika utamwambia hata huyo simba " Gerra raa hia!"

Siku ya pili ndo unajiuliza, hivi nilisemaje vile?

Tanzania Distilleries asante kwa kinywaji chenye pawaa!!

Za chinichini
 
View attachment 3521495.

Hahahaha😂😂😂😂😂🤣🤣
db77787c-3b41-4ffd-951a-2a9013027b7b.jpeg
 
View attachment 3521495.
Ulanzi si maji.
Na ukiutwika kisawasawa, simba utamwona kama paka tu.
Na kwa uhakika utamwambia hata huyo simba " Gerra raa hia!"

Siku ya pili ndo unajiuliza, hivi nilisemaje vile?

Tanzania Distilleries asante kwa kinywaji chenye pawaa!!

Za chinichini
Wapewe award ya alcohol producer of the year
 
View attachment 3521495.
Ulanzi si maji.
Na ukiutwika kisawasawa, simba utamwona kama paka tu.
Na kwa uhakika utamwambia hata huyo simba " Gerra raa hia!"

Siku ya pili ndo unajiuliza, hivi nilisemaje vile?

Tanzania Distilleries asante kwa kinywaji chenye pawaa!!

Za chinichini
'Hu arr yu' ni mlevi, Hana akili, maadili na nidhamu, ana kiburi na tabia mbaya.
 
Who are you katika ubora wake.
 
View attachment 3521495.
Ulanzi si maji.
Na ukiutwika kisawasawa, simba utamwona kama paka tu.
Na kwa uhakika utamwambia hata huyo simba " Gerra raa hia!"

Siku ya pili ndo unajiuliza, hivi nilisemaje vile?

Tanzania Distilleries asante kwa kinywaji chenye pawaa!!

Za chinichini
Mmechelewa kujua mbonawaulizeni kina Jokate mtacheka nyie
 
Bi chura anarembua rembua kumbe anakuwa kagida nyagii?!

Huyu bi chura ana laana!
 
Back
Top Bottom