MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,731
- 9,184
Ummy alimsema mlevi juu ya ulevi wake akakutana na kitu kizito.
😆😆🤣🤣 Hiyo ya kuiona USA kama Somalia imenikumbusha mbali. Siku moja baada ya kulewa nikataka niombe pambano kwenye bar moja hivi dhidi ya Japhet Kaseba, yule mkali wa judo na karate. Aisee pombe hizi!In a mlevi konki voice, "Hu arr uh?, kwendrrrah zako"
Kufoka ukiwa umelewa ni raha sana. US unamuona kama Somalia.
Tuwasikie wale Masheikh wanaotia nywi nywi nywi, ati msile kitu ya Wakristo!Mkubwa anatafuna Konyagi na siku nyingine akiwa vizuri anakula safari
View attachment 3521495.
Ulanzi si maji.
Na ukiutwika kisawasawa, simba utamwona kama paka tu.
Na kwa uhakika utamwambia hata huyo simba " Gerra raa hia!"
Siku ya pili ndo unajiuliza, hivi nilisemaje vile?
Tanzania Distilleries asante kwa kinywaji chenye pawaa!!
Za chinichini
Hakuna mtu wa Bakwata tunayeweza kumuita Sheikh, hawa ni Wachumia tumbo tuTuwasikie wale Masheikh wanaotia nywi nywi nywi, ati msile kitu ya Wakristo!
Hapa ni wapi?
Hata JokateUmmy alimsema mlevi juu ya ulevi wake akakutana na kitu kizito.
Watu wamechoka sana mzee maza kazingua mnoHaha, Nani huyo anayeendesha toroli na akaamua kumbwaga?
Hata yeye Samia moyoni mwake anajua kazingua, uwezo wake ni mdogo sana kuongoza hii nchi.Watu wamechoka sana mzee maza kazingua mno
Kuna watu anawalinda ndo wanamcostHata yeye Samia moyoni mwake anajua kazingua, uwezo wake ni mdogo sana kuongoza hii nchi.
Kiburi, ufisadi, ulevi wa madaraka ndio unamfanya anganganie madaraka.
Alaaniwe Kikwete aliyempendekeza kuwa Makamu akijua uwezo wake mdogo, Hussein Mwinyi asingetufikisha hapa.
JK hachomoi!Hata yeye Samia moyoni mwake anajua kazingua, uwezo wake ni mdogo sana kuongoza hii nchi.
Kiburi, ufisadi, ulevi wa madaraka ndio unamfanya anganganie madaraka.
Alaaniwe Kikwete aliyempendekeza kuwa Makamu akijua uwezo wake mdogo, Hussein Mwinyi asingetufikisha hapa.
Jamaa mtu wa ajabu sana. Taifa linapitia moja ya changamoto kubwa tangu lianzishwe yeye yupo kimya.JK hachomoi!
Jakaya=SamiaJamaa mtu wa ajabu sana. Taifa linapitia moja ya changamoto kubwa tangu lianzishwe yeye yupo kimya.
Angekuwa mzee mwenye hekima, busara, utu, kujali haki, amani angetoa neno kukemea mauaji yaliyofanyika kama wazee wenzake Warioba, Thambo Mbeki, Ian Khama, Cyril Ramaphosa, Antonio Guterres.