joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
- Thread starter
- #21
Tofauti ya kuzungumza lugha na kuitukiza lugha, ninyi wakenya mtu akizungumza English mnamthamini kuliko anayezungumza Kiswahili, Kiswahili Kenya ni lugha ya wasio na elimu, tofauti na waganda hawachukulii hivyo.
Unasema English is a universal languages, lakini haina maana udharau laugha yako ya Taifa, mbona American money is universal currency lakini hamuitumii badala yake mnatumia Kenya money?, ninyi ni slave wa wazungu.

Acha ujinga. English is a universal language and you'll find it wherever you go. Mbona hamuwakebehi waganda na ndio wanaongoza afrika kwa kuzungumza kimombo? Mbona huwa mnaumwa sana kisa wakenya wanakizungumza? Ironically, you are criticizing while you are typing in it.