Inategemea na site unayotaka kutengeneza, html na css zinaunda muonekano wa site na zinakuwa zinasomwa na browser yako ili ziwe displayed kwa mtumiaji.
Ila kama unataka kufanya vitu kama search, kuhifadhi data, kuregister users, ku control access au kafanya business logic yoyote kwenye site yako basi itabidi utumie some sort of programming language ambayo ni server side kama php, java, c#, python, server side javascript etc hii itafanya unachotaka kisha itatema html ambayo itasomwa na browser. So kwa kifupi kuna vitu haviwezekani na html/css peke yake