htc smartphone vs tecno smartphpne

htc smartphone vs tecno smartphpne

acha kudanganywa, hivi tecno ni yakuCompare na htc,
tecna bado mchanga sana ucdanganyike hata kama tecno ana kitkat na htc ana 4.0
chkua htc kwa ushaur wangu wenye uzoef.

Uchanga wa kitu co issue sana....kwan hujawah kutangulia haf ukaja kuptwa?
 
Kwa sababu nimesha tumia baadhi ya hizo hasa kwa matumizi yangu zika ni disappoint mf. Samasung, na LG bt toka nime anza kutumia phantom pad sijawahi kujilaumu hasa kwa matumizi yangu hakuna kuheat ,na charge atlist inakaa tofauti na hizo za awali.

OK mkuu Kirikuu ulitumia pia Samsung Tab na Pia Ulitumia Tecno Pad Na ukazilinganiasha au ulitumia simu ya Samsung ukalinganisha na Pad ya Tecno?

Mi pia ingawa sijawahi own ila nishawahi kuchukua simu ya Mtu ya Tecno nikafanya Comparison na Simu yangu ya Samsung. Nilijaribu kufanya katika Graphics za Ma-GAME. Nijue ipi ipo poa. Jamaa alikuwa na Tecno Pantom F7 na mimi ni S2 plus

Game Linaitwa GUNSHIP BATTLE

Kwangu Game aliclash hata kidogo na Tilting ipo vizuri sana ukiwa unacheza. Ila nipojaribu kuliweka kwake nikakutana na matatizo yafuatayo ingawa Tecno hiyo inaspecification kama zangu na kunizidi kwenye screen size yake ina 5 inches

1. Tatizo la Bluetooth
Hili sijaliona kwake tu ila kwa wengi wenye simu design ya Tecno. Nilifanya Backup ya Game ili niweze kumrushia na yeye kwa Bluetooth. Kila nikijaribu inagoma ku-detect na inafail ingawa Visibility kila kitu kipo sawa. Mpaka ujaribu sana na kurudia rudia kuwasha na kuzima ndo inakubali hiyo Bluetooth kudetect

2. Ukishamaliza kurusha

Ukiclick kwenye file ulilolirusha kwake hasa hasa Haya ma-game utaambiwa UNSUPPORTED file. Ila mpka ukalitafute kwenye Folder husika ndo kidogo inasaidia. Sasa kwa mtu kama hujajua basi utasema simu haisupport game husika

3. Kucheza Game Lenyewe sasa

Niliinstall vizuri game na Nikaanza kucheza. Mda wa kuload ulikuwa si Mfupi ulichukua mda kidogo. Graphics hazikuwa nzuri. Inakuwa nzito na crash. Background music na effects haziendani na Action ya Game Lenyewe

Najua unaweza kusema mi si mpenzi wa Magame ila kwa mtu ambaye anapenda kucheza Game kujifurahisha na kurelax sidhani kama atanunua Tecno. Kwahiyo pointi ni kujua unataka nn tu

Matatizo mengine ya Tecno in General

1. Hakuna Customers Service utakayoipata simu ikiharibika Zaidi ya Kwenda kwa Mafundi simu ambao wengine si waaminifu

2. Hakuna Updates za Simu yako
Kama imekuja na Android 4.1.2 ndo hiyo milele na milele. Na hasara zake ni hizi. Kuna baadhi ya application hutozipata kwa mbeleni maana zitahitaji update android system yako. Mfano GOOGLE launcher n.k

3. INFERIORITY
Watu wengi wa tecno hawawi huru kusema ninatumia simu ya Tecno. Wanajiona ni watu wa hali ya chini hata kama amenunua simu yenye laki 4. Mfano huyu jamaa niliyeJaribu simu yake. Yeye alifunika Ile LOGO kwa Nyuma ila mbele tecno haikuweka logo yao. Halafu pia TECNO nao washajua kuwa watu hawapendi ile Nembo wanajaribu kuificha sana kwa simu zao mpya wanazozitoa

Ni hayo tuu
 
Last edited by a moderator:
U prove nini mkuu?

Maana naona SIMU nyingi tu za kisasa hasa hizi kampuni kongwe kama Alcatel zinatumia chip ya mediateq ingawa unaziona taka taka but zipo poa sana...

Alcatel inspire 2

kwaanza nikusahihishe alcatel walishaacha kuuza simu zamani tu wamelicence jina kwa kampuni ya kichina inaitwa tlc kama sijakosea hivyo sio ile kampuni kongwe unayoijua wewe iliotengeneza hio simu.

tuje kwenye mada sasa nimegoogle chip yako inaitwa MT6575 ni single core cortex a9, inakuja na android 4.1 jellybean bila update yoyote. so kaka nakupinga hujapata update prove kwa kutuma about page tuoneshe kitkat yako au hata atleast android 4.3 au 4.2

na ukitaka kujua chip za mediatek ni nuksi simu hazitofautiani angalia hii simu ya lg utafkiri simu yako imepigwa photocopy each and everything vinafanana
LG Optimus L5 II E460 - Full phone specifications
 
Nimeiangalia zinatofautiana sana tu...

Then hii na simu za tecno zipo tofauti sana
 
Kwa sababu nimesha tumia baadhi ya hizo hasa kwa matumizi yangu zika ni disappoint mf. Samasung, na LG bt toka nime anza kutumia phantom pad sijawahi kujilaumu hasa kwa matumizi yangu hakuna kuheat ,na charge atlist inakaa tofauti na hizo za awali.

Hii simu ya samasung inaonekana nzuri sana na very expensive...ulinunua wapi mkuu?
 
Asee kuna simu nimezikuta maduka ya voda zinauzwa laki moja moja androids flani hivi..kuna mtu yeyote mwenye idea na ubora wa hii kitu jamani???
 
Acheni ujinga..
Hata mimi natumia tecno phantom f7 lakin kamwe tecno haiji kufanana na htc,lg,samsung..
Na hii sio kwa chip tu..
Angalia kioo cha tecno kinavosumbua kwenye jua,.
Ukiona mtu anafanansha Tecno na hzo simu hapo ujue n mshamba wa simu,yani yeye kwake simu ikishakuwa android tu bas inafanana na android nyngne..
 
Tecno inazidiwa hata na Huawey, nimeona sehem ambazo net inazingua tecno inasinzia sana!
 
Back
Top Bottom