HTC 7 Morzat yangu jamani nifanyeje?

HTC 7 Morzat yangu jamani nifanyeje?

Mambaenock

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
427
Reaction score
107
Habari wana jamvi
nina simu yangu aina ya HTC 7 Morzat ambayo ni window phone
tatizo lililopo ni kuwa siwezi kutumia huduma za
1 M-pesa,tigo pesa,airtel money na easy pesa
2 siwezi kupata huduma za mitandao mbali mbali mfano
huduma za voda zinazopatikana kwa kupiga
*149*01#
tigo *148*01#
airtel *149*99#

huduma inayokubali kwenye simu yangu ni huduma ya kuangalia salio kwa kupiga *102# kwa mitandao yote
hivyoo naomba utaalamu wenu wanajamvi nitashukuru sana nikiweza kuactivate huduma hizo hapo juuu.
 
nunua nyingne, jaman muwe mnauliza kabla hamjanunua cm kwa watalamu!!! pia kuna window phne za nokia hazfanya kama yako,so be care
 
Pole sana hayo ndio matatizo ya window phones nyingi. Sasa kama simu haikupi vitu mugimu kama hivyo ya nini?
 
Back
Top Bottom