Mbona game inachezwa asubuhi hii
Brazil 2,Firmino. Messi QUOTE]Hhahahah
Huyu nyundo wa barca vipi
Haka katoto kananifurahishaga sana
Tofauti za muda mkuu !!Mbona game inachezwa asubuhi hii
Game nani anacheza fresh nipe analysis kidogo mkuu wangu2-0 Brazil
Naona Alisson kishazijulia faulo za Messi. Ila Argentina wanashambulia. Wanaweza sawazisha aisee.
Leo katalia sana wakifungwa,wajitahidi wasawazishe na washinde.
Katazira tena kucheza timu ya taifa hadi wakabembeleze
Egypt nao mtasema hivyo hivyo.Brazil wa kawaida sana Home advantage inawasaidia tu