HT: BRAZIL 1 - 0 ARGENTINA

Na hivi Ronaldo kabeba ndoo na team yake ya taifa. Ndo kataumia zaidi. Basi Ronaldo leo kwakujidai atapost picha akiwa na kombe la UEFA league of nations.
Hahaha na ye atapost akiwa kabeba la liga

Kuna jamaa alikua anadai ronaldo angecheza kwenye timu kama barca ambapo kuna Team mates kama wale

Jamaa angekua anafunga kila siku , goli tano

Hayo ni maneno ya jamaa angu si yangu mkuu
 
Honedtly coach wa Argentina ndio wa kulaumiwa. Anawaacha Dybala na Di Maria bench kny mechi muhim kama hii.
Messi analaumiwa bure tu, maana hata achezeje, hana support kabisa. Leo muda mwingi amekua akienda kupokea mipira kutoka kwa mabeki kwenye nusu uwanja ya argentina!
I think it's high time he retires from this team!
 
Messi without his barca team mates

Teh ...

Realy ...
 
Back
Top Bottom