Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,862
- 8,511
wajinga wa argentina wanafanya messi anaumia roho ma mashabiki wake tunaumia asee..yani messipaka afate mpira katikati ya uwanja...messi daiv ilitakiwa apunguziwe majukumu maana akili inataka ila mwili hautaki