Hsdpa universal modem

Hsdpa universal modem

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
WAKUU na imani mu wazima,,ninayo hii modem yangu inazingua kusoma katika PC yngu lkn kwa PC ZA WENGINE INASOMA MWENYE UFUMBUZI ANISAIDIE MODEM NI 3.5G,,AU BASI ATAKAYE MIND ANIPIM ANAWEZA KUNIFANYIA EXCHANGE AU KUINUNUA BEI NI MAELEWANO
 
Sio pc yako haitambui modem bali windows yako haitambui modem so akili kichwani mwako.
 
Hizo modem mara nyingi katika xp zinasumbua.Nami niayo inagoma katika xp ya desktop kwenye laptop nimeweka w7 inapiga kama kawa.
 
nashukuru kwa michango yenu mimi natumia toshiba na win8 kitu haipigi mzigo lkn mchizi wangu Acer win 8 inapiga mzigo sasa hapo tena tuseme ni nn
 
yap nadhan weka kwa window 7 itakubali!! ila ungeweka model na jina ya iyo modem ungeweza pata msaada zaidi wa individual software kwa mfano mi nna sierra wireless modem nna software yake separate!!!
 
hakuna window ambayo ni family kana xp sp 2 huwa haina kweree labda kama unatumia sp 1
 
Habar Zenyu, nina acer notebook, ilianza kama utani first day iligoma kuingiza charge, the second day ikazima after two days ikawaka nkaitumia 4 2 days ikazima! ndiyo jumla mpaka leo, nimebadilisha chaji lkn bado kimya! help me pliz jamani
 
WAKUU na imani mu wazima,,ninayo hii modem yangu inazingua kusoma katika PC yngu lkn kwa PC ZA WENGINE INASOMA MWENYE UFUMBUZI ANISAIDIE MODEM NI 3.5G,,AU BASI ATAKAYE MIND ANIPIM ANAWEZA KUNIFANYIA EXCHANGE AU KUINUNUA BEI NI MAELEWANO

hizo moderm zenyewe ni changa la macho kama unaweza kuiuza ni bora ukaiuza fasta
embu jiulze moderm gan haina brand name kama ni huawei/zte etc
je ikiwa na tatizo utapata wapi support
na mm nilinunua ikawa inadisconect kila baada ya dkk 20 nikwawarudishia
 
Back
Top Bottom