web engineer
Member
- Mar 19, 2012
- 55
- 0
salaam,nimepata shida na laptop yangu ya Hp pavilion dv6,nikiwasha kuna taa mbili ya Num lock na Caps lock ndio zinawaka lakini screen haiwaki inakuwa nyeusi tu.hizi caps lock na Num lock zina blink continously bila laptop kuwaka au ku display.
msahada tafadhali
msahada tafadhali