God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Ni faida kwetu walaji.kampuni ya hp baada ya mafanikio makubwa inayopata kwa computer zake (desktop/laptop) pamoja na vifaa vingine kama tablets n.k soon mwezi wa sita watatoa simu yao matata sana inaitwa hp elite x ambapo hizi ni baadhi ya specification zake kali kweli hadi nkaipa tano
OS window 10
chipset snapdragon 820
battery 4150mAh halafu ni removable
RAM 4GB
internal memory 64GB
camera, main 16MP na front 8MP
Dual sim pia LTE technology.
naona biashara ya simu itakua na ushindani sana tayari tuna apple, microsoft, samsung, lenovo, assus,toshiba yani ushindani ni hatari mno.
tuone nani atafanikiwa zaidi.
ni simu za ofisini, waajiri ndio watoa hela nafkiri wao wangependa zaidi hio camera isiwepo kabisaSijui kwa nini camera huwa wanabania.
Wangeanza na 20 mp rear na 12 front ingekua poa sana
nzuri kwa kweli.Betri nimeielewa sio hizi ya 1800mAh, vipi security yake?
Dah Inasikitisha sana simu nzuri hivi. Lakini OS tu.
Nakuona mzee wa android, os ya wanafunzi. Karibu kwenye smat office packDah Inasikitisha sana simu nzuri hivi. Lakini OS tu.
Lakini kinacho shangaza ukisearch online for smartphones for professionals au productivity suggestions zote na ranking zote utakuta iPhone 6s, Samsung Note 5, Samsung galaxy s6/s7, Blackberry Priv, Nexus 6p sasa sielewi elewi unacho maanisha maana Microsoft Office app utazikuta zipo bundled hata kwenye s6..Nakuona mzee wa android, os ya wanafunzi. Karibu kwenye smat office pack
huwezi compare hio simu na os ya simu ya kawaidaLakini kinacho shangaza ukisearch online for smartphones for professionals au productivity suggestions zote na ranking zote utakuta iPhone 6s, Samsung Note 5, Samsung galaxy s6/s7, Blackberry Priv, Nexus 6p sasa sielewi elewi unacho maanisha maana Microsoft Office app utazikuta zipo bundled hata kwenye s6..
Kubali tu hii os yenu inasuck
we sema tuu huipendi window OS sababu haina app za kuchezea kama android but it is the most secure na ina mambo tuu mazuri ya kufurahisha nafsi yako.Dah Inasikitisha sana simu nzuri hivi. Lakini OS tu.
Sielewi hizo numbers zako umepata wapi Windows Phone market share continues to fall, says Kantar reporthuwezi compare hio simu na os ya simu ya kawaida
1. ina continuum nafkiri unaijua hivyo ukiwa ofisini utahitaji.monitor tu
2. inarun desktop apps japo sio native inakuwa tu virtual lakini still ni nzuri kwa app ndogo ndogo za kiofisi itapiga kama kawaida.
pia ni windows phone simu yenye security zaidi na almost masoko makubwa yote ya eu5 na marekani windows phone inafanya vizuri zaidi kote marketshare yake ni zaidi ya 20% kwenye enterprise ni kwenye consumer market ndio haipo vizuri
Samsung Knox Security Beats iOS, Android, Gartner Finds - InformationWeekwe sema tuu huipendi window OS sababu haina app za kuchezea kama android but it is the most secure na ina mambo tuu mazuri ya kufurahisha nafsi yako.
Nimeipenda sijui makadilio yake ya bei itakuwajehuwezi compare hio simu na os ya simu ya kawaida
1. ina continuum nafkiri unaijua hivyo ukiwa ofisini utahitaji.monitor tu
2. inarun desktop apps japo sio native inakuwa tu virtual lakini still ni nzuri kwa app ndogo ndogo za kiofisi itapiga kama kawaida.
pia ni windows phone simu yenye security zaidi na almost masoko makubwa yote ya eu5 na marekani windows phone inafanya vizuri zaidi kote marketshare yake ni zaidi ya 20% kwenye enterprise ni kwenye consumer market ndio haipo vizuri
hizo ni namba za consumer ambazo nimesema hazipo vizuri na sio za enterprise. mfano wa enterprise ni kama polisi wote 36,000 wa new york wanatumia windows phone na sio ios wala android na makampuni mengi duniani wanawanunulia wafanyakazi wao windows phone na feature kubwa wanayoipenda ni universal search ambayo inapatikana windows tu hivyo unakuta database zao zina integrate kwenye os level huku kukiwa na security kubwa sababu app inarun kwenye room yake app moja haiwezi ona app mwenzake anafanya nini.Sielewi hizo numbers zako umepata wapi Windows Phone market share continues to fall, says Kantar report
Continuum ni nzuri but ni a gimmick users wanaitumia once na wataacha, windows on pc ni nzuri sana but kwenye simu bado.