Hp Laserjet Pro M176n Inauzwa bei chee.

Hp Laserjet Pro M176n Inauzwa bei chee.

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Ipo kwenye hali nzuri sana (Imetumika kwa miezi 3 tu). Bei yake dukani ni Tsh 700,000+ lakini nitakuuzia kwa Tsh 500,000 (No bargaining).

Specification:
Ina uwezo wa kutoa copy, scan na kuprint kwa speed kubwa sana.
Ina uwezo wa kutoa copy za rangi kwa speed kubwa.
Ina uwezo wa kuprint kutokea kwenye simu (Via Network)
Ina ubora mkubwa sana wa picha

Ilinunuliwa kwa ajili ya matumizi ya ofisini lakini ofisi imefungwa. Mwenye uhitaji please check me Via 0674 760 572

5547c526cdb9fd0a772f2f8ba8c63f89f475e987.jpg
 
Back
Top Bottom