Hp Deskjet 2050 All in one J510 Series

IamError_D

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
427
225
Kwa aliyewahi kutumia printer kama mada inavyojieleza. Je naweza kujaza wino kwenye cartridge na kuprint bila tatizo? Mwenye uzoefu tafadhali
 

Kobe_mzee

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
445
250
Sidhani kama unaweza ku-refill cartridge zake ni mpaka ununue mpya. Yangu imenigomea


You can fool some people for some times, but you can't fool all the people all the time
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom