Howard Webb-man of the match

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
MAPENZI NI MAZURI PALE UNAPOPATA UMPENDAE UKAMFANYA UNAVYOTAKA
LAKINI AKIINGIA SHETANI MMOJA AKAJIFANYA ANAJUA KUPENDA BASI INAKUWA SHIDA TUUPU
UNAMJUA HUYU

"""""""""""""Howard Webb""""""""""""""""""""""""""""
 
Dah! huyu jamaa Howard Webb anajua sana... ile penalti ya pili alivyoitoa... very professional.. Goli la Chicharito kidogo Hoawrd Webb aruke ruke kwa furaha!!
 
ujaona chupi yake ilikuwa inaruka ruka kwa ndani hana adabu ya kuzaliwa huyu
 
Ndio refa bora Uingereza kwa sasa, na ndie aliechezeshpa mechi ya fainali ya kombe la dunia mwaka 2010 kati ya Hispania na Uholanzi. Kama kuna mtu anabisha simshikii bakora. Nahisi huyu refa atarithi mikoba ya yule refa kipara mtaliano, PIERLUG COLLINA.
 
ndio refa bora uingereza kwa sasa, na ndie aliechezeshpa mechi ya fainali ya kombe la dunia mwaka 2010 kati ya hispania na uholanzi. Kama kuna mtu anabisha simshikii bakora. Nahisi huyu refa atarithi mikoba ya yule refa kipara mtaliano, pierlug collina.

umelogwa kweli mpwa unajua huyu ni takataka kuliko wote uk
unataarifa alitoa kadi 3 zanjano bila kumtoa mtu nje
usiniulize wapi kama unadata zake means na hiyo unayo
rekebisha usemi
 
huyo n mpenz wa fergie jana alpgwa picha kapakatwa na fergie huku akinyweshwa pecali.
 
Ila anajiamini kwelii jamaa tanzania utoki uwanjani vile haata sikumoja
we na angefia mbagala angezikwa mbagala
 
wivu wa kike hamkuona kuna sehemu mpira ulimfikia miguuni akaucheza na kumpasia mchezaji wa chelsea acheni hizo mlikuwa mfungwe shukuruni sana mmeponea chupichupi kufungwa!!!
 
na wewe unakuja huku??haya tumeskia nasikia mmemualika tena achezeshe mechi ya liverpool nasoma hapa sina mbav u kwenye net
liver wakikubali ni wapumbavuu
 
wivu wa kike hamkuona kuna sehemu mpira ulimfikia miguuni akaucheza na kumpasia mchezaji wa chelsea acheni hizo mlikuwa mfungwe shukuruni sana mmeponea chupichupi kufungwa!!!

Wewe nawe huna tofauti na HOWARD WEBB
 
umelogwa kweli mpwa unajua huyu ni takataka kuliko wote uk
unataarifa alitoa kadi 3 zanjano bila kumtoa mtu nje
usiniulize wapi kama unadata zake means na hiyo unayo
rekebisha usemi

Mimi nimetoa evidence za ubora wa Howard Webb mbona wewe hujatoa evidence za kauli yako.NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. Halafu unasema eti mimi nimerogwa, kama kuroga sio mimi ila watakuwa wamerogwa kamati ya waamuuzi ya FIFA kwa kumteua achezeshe mechi kubwa kama ile. Halafu kumwita binadamu mwenzako Takataka sio ustarabu. Hakuna binadamu aliekamilika, je wewe tukigundua mapungufu yako na kukuita TAKATAKA utafurahi? Anyway inawezekana huyu refa ana mapungufu yake lakini ubora wake unabaki palepale. Ngoja nikupe mfano, katika serikali yetu ya Tanzania hakuna waziri mchapa kazi kama John Pombe Magufuli. Huyu hana mpinzani kwa kazi yake. Lakini si muda mrefu aliteleza ulimi alipowaambia wananchi wa kigamboni kama wanaona nauli ya kivuko ya sh.200 ni kubwa basi wapitie Mbagala. Je, kutokana na kukosea kwake waziri Magufuli ndio iwe sababu ya kutoa ubora wake? Ubora unabaki pale pale kwani kukosea kupo kwa binadamu. Nimekupa huo mfano ili nikuthitishie ubora wa Howard Webb hauwezi kufutika kwa sababu ya makosa yake ya kibinadamu.
 
chelsea fans,ushabiki usiwafanye mkawa vipofu,webb aliwabeba kipindi cha kwanza kwa kuwanyima man utd penati mbili za wazi na ilikuwa cahil apewe nyekundu...penati alizotoa zote hazina tatizo....ya evra ilikuwa clear kabisa,...ya pili kidogooo ilikuwa na utata lkn ni ngumu kwa refa kuona kila kitu,kama uliangalia game ya man city na fulham nadhani mliona jinsi johnson alivyo cheat na man city wakapewa penati
Kumbuka kuwa tunapiga kelele kwa kuwa tunaangalia mpira kwenye tv na tunaona kama timu haikutendewa haki mara pale wakiweka slow motion,zaidi ya hapo huwezi jua kama pale refa kakosea au laa
kumbuka kuwa hawa wachezaji wanacheza kwa kasi sana ndio maana wenzenu huku wanataka technology ya tv katika kuamua baadhi ya mambo kama ilivyo kwenye tennes
 
wivu wa kike hamkuona kuna sehemu mpira ulimfikia miguuni akaucheza na kumpasia mchezaji wa chelsea acheni hizo mlikuwa mfungwe shukuruni sana mmeponea chupichupi kufungwa!!!

Ah , c'mon webb , only 2 penalty kicks for United ??! you could have done better ... they needed another one in injury time .
 
Back
Top Bottom