Duu kweli kupenda kuna mambo..!As far as hatuchezi na Man U nina imani na Webb labda haki itatendeka, yule refa wa mechi ya kwanza alikuwa analazimisha matokeo ya Barca na Madrid yafanane, hakuwa na sababu yoyote ya kutoa penati nyepesi kwa Dotmund wakati tayari wanaongoza goli tatu, hata mazingira ya goli la pili yana walakini.
Webb atasimama pale kati stantiago bernabeu tashuhudia ronaldo akipiga hat-trick nakuipeleka madrid final

WEBB alichezesha wakati wanapigwa goli 4?ronaldo=man utd= webb
Webb atasimama pale kati stantiago bernabeu tashuhudia ronaldo akipiga hat-trick nakuipeleka madrid final
Webb atasimama pale kati stantiago bernabeu tashuhudia ronaldo akipiga hat-trick nakuipeleka madrid final
Tobaa!ngumi uwanjani!