How? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwendabure, Sep 5, 2011.

1. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#1
Sep 5, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180
Julius Kambarage Nyerere (JKN)
Jakaya Mrisho Kikwete (JMK)

Kwangu mimi niliyezaliwa na kukulia wakati wa Mwl Nyerere inanipa tabu si haba! Wakati huo tukiimba JK! JK! JK! Na herufi zinapatana Julius Kambarage...!
Imekuwaje Jakaya Mrisho itamkwe kwa ufupisho wa JK?
Nawasilisha! nasubiri ufafanuzi.

2. Mghoshingwa

Mghoshingwa JF-Expert Member

#2
Sep 5, 2011
Joined: Jul 9, 2011
Messages: 305
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
Hapo tatizo sasa ni nini?

3. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#3
Sep 5, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180

Mkuu! Kama hili lako ni jibu, lakwangu linabaki kuwa swali.

4. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#4
Sep 5, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 737
Trophy Points: 280
Unajaza server ya JF kwa thread zisizo na maana kabisa.

5. Likwanda

Likwanda JF-Expert Member

#5
Sep 5, 2011
Joined: Jun 16, 2011
Messages: 3,854
Likes Received: 45
Trophy Points: 145
Hapo ni tatizo la kimtazamo na sio Jk.

6. Mamndenyi

Mamndenyi JF-Expert Member

#6
Sep 5, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 29,101
Likes Received: 6,565
Trophy Points: 280
hata mimi linaniuzi sana hilo jina kufanana; but ni kama mlima kilimanjaro na kishuguu.

7. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#7
Sep 5, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180

Asante Mkuu kwa kutumia muda wako wa maana kutoa maoni ktk thread isiyo na maana kwako.

8. moblaze

moblaze JF-Expert Member

#8
Sep 5, 2011
Joined: Nov 22, 2010
Messages: 229
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
tatizo ni kupewa jina ambalo hana sifa nalo mkuu..

fire

9. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#9
Sep 5, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180

Mkuu! Tofauti ya kimtazamo ndo inazaa hoja. Nakubaliana nawe.

Loading...