Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,025
Umepata mke/mme na kipindi chote cha mahusiano hamkuwahi kujuana kimwili.Baada ya kufunga ndoa,siku ya kwanza kupeana tunda,mke/mme anakuonyesha viwango vya hatari yaani full ma freestyle na sarakasi za kila aina kitandani.Huu uwezo kaupata wapi na kaupataje?