teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
jamani naombeni msaada kila nikijaribu kutafuta majukwaa kwny jforums siyapati nifanyeje?

Mkuu simu yako inatumia system gani? if ni Android nenda Android market then search jamiiforums for android.
Mi ndo natumia, ipo gud...!