Wengine ni wavivu wa kusoma maelekezo hatua kwa hatua na ndio maana wanauliza maswali ambayo yameshapatiwa majibu. Hongera sana Invisible kwa ustahimilivu, maana naona kila mtu unamjibu.
hellow, as u view my profile, am a new member on jamii forum.. wish to stay close to friends and relatives as the best way to build our political culture, am expecting a great support from u.
Sorry,nina kitu kinanisumbua nataka jua jinsi gani naweza kumjibu mtu (member) na jina lake likawa highlighted au kuwa live kutoka pale kwenye post yangu.
I enjoy very much to be a member of JF. I believe, through my experience and professional my contributions and discussions of various topics in one way or another will be a catalyst of solving related daily challenges. I promise to follow all steps of my senior members . To JM management I promise to be royal and obedient to laws and instructions. I salute you all