Nashukuru watanzania wenzangu kwa kutambua mchango wa CHADEMA katika ukombozi wa nchi hii na hasa ishara nzuri iliyonyeshwa Igunga ni dalili nzuri za ushindi kuelekea mwaka 2015 tusikate tamaa ni mwanzo mzuri cha muhimu ni kuhakikisha tunatoa changamoto kwa wingi na kukisaport chama kwa hali na mali
Hi wanajamii. Nafurahi kujiunga na crew hii hapa ya kijamii. Naombeni mnipokee jamani. Tupo pamoja na tuendee kuwa pamoja jamani. Chama kubwa linapokubalika wafuasi huongezeka. Nami nakiri ubora wa forum hii na kujiunga. Big up kwa Founders pamoja na Washiriki wote.