how to use htc sprint which do not use a cheap

how to use htc sprint which do not use a cheap

saambili

Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
25
Reaction score
4
naomben ..msaada..nataka kutumia htc..yangu..but haina sehem ya kueka lain..naomba direction niende kwa fund yup
 
Niliwahi ambiwa Zantel wanaweza kuziflash ila zitakuwa na uwezo wa kuingia online tuu huwezi piga wala kupokea call. Hivyo save yourself ur time kutafuta fundi. Simu za Sprint/Verizon kama hazina redio mbili nishai hazifai hata kidogo. Nafahamu kwa hakika huwezi kuitumia kwa Voda, Tigo, Airtel....
 
Back
Top Bottom