How to use asus google nexus tablet 7 as a phone.

How to use asus google nexus tablet 7 as a phone.

Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
906
Reaction score
112
I tried to use VoIP in my device and managed to make a call,it rung and received but I could not hear from the other part even the receiver did not hear from me.
Please,I need your help.
Thanks for your assistance.
 
tumeshajua una own hiyo device haya basi ,umeshindwaje ku google/////
 
tumeshajua una own hiyo device haya basi ,umeshindwaje ku google/////

Ndg yangu mimi sio wa hivyo.
Kama unaweza kunisaidia,naomba ufanye hivyo kwani nimejaribu ku google bila mafanikio.
Software ninazopata zinataka kutumia wireless na au bluetooth kupiga simu lakini pia VoIp iliweza kupiga simu bila kuwa na sauti(mpigaji anasikia simu ikiita, upande wa pili vivyo hivyo mpokeaji lakini wakati wa kuongea,hakuna anayemsikia mwenzie pamoja kwamba pesa inakatwa).
 
hivi vitu mara nyindi kabla yakununua inabidi uwe mdadisi sana wenzetu wameendeleasana wenzetu net ni kila mahali hata chooni unapata wireless!! bloototh etc ukizinunua hizi angalia na wapi unaenda itumia wengi tu wamenunua ipad sasa zinakaa ndani maana hazina sehemu yakuweka chip au line card!!sasa angalia vizuri google kama unaweza tumia kwa matumizi unayotaka inawezekana kabisa haina speaker lazima utumie blutooth so jaribu BT
 
Back
Top Bottom