Nimeletewa simu (nokia 6303) na jamaa yangu toka UK iko locked kwenye mtandao wa t-mobile nimejaribu mafundi kadha hapa Dar wanambia hawajui code yake. Msaada jamani wapi naweza kuifungua.

CAUTION Maximum trial za ku unlock simu za Nokia kwa code ni 5. ukijaribu unsucessful simu inakuwa hard locked. Ikiwa hivyo then unlocking ni mpaka ifanyike kwa DATA cable kwenye kwa mafundi. kwa kuwa nokia ni band kubwa hata dar wamejaa so ni vizuri kujaribu free.
Nimeletewa simu (nokia 6303) na jamaa yangu toka UK iko locked kwenye mtandao wa t-mobile nimejaribu mafundi kadha hapa Dar wanambia hawajui code yake. Msaada jamani wapi naweza kuifungua.
Kupata kanunikufunguakwa ajili ya simuyako kutokahttp://www.onlinegsmunlock.com/ Hii nionlinehudumaambayo kutoahuduma kwa ajili yamobile.Youyako inawezakutumiana kufunguasimu yakokwa urahisi..